Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,474
- 4,007
Kumekuwa na tabia za wanaume kuwatenda wanawake, anaweza awe single mother au msichana tu na hiyo imepelekea wasichana kutokuwa na imani kwa kiasi kikubwa na wanaume wanao jitokeza mbele yao kwa sababu ya kuoa au kuwa na ndoa ya mkataba au kuishi tu kwa kipindi flani, wengi wamekuwa waoga na kujipanga kuwatenda.
Wanaume maana wamezoea kutendwa wao tu, sasa kuna haja ya serikali kuwa na sheria kali sana kwa wanaume kuwa ukimpotezea muda mtoto wa kike lazima upate adhabu vilevile naye mtoto wa kike akiwa mjanja kutaka kukulia hela na asepe naye apate chake, hili litasaidia sana sisi wanaume tujifunze na tutulie, kama ilivyo kumpa.
Mwanafunzi ujauzito au kubaka, lazima ifike wakati tuheshimiane ukija kwa msichana lazima uwe serious na mkweli sio kuja kula tu na ku sepa NO, ma single mother wanalia sana wana vidonda mioyoni, unakuta ana mtoto 1 au 2 au 3 au 4 wote kila mototo na baba yake, ukimuuliza anakwambia anajuta kukutana na wanaume maana kila mtu alikuja kwa gia ya juu sana akamuamini na akamuona tofauti na Yule mwingine. Wanaume Mwenyezi Mungu anatuona.
Wanaume tubadilike na sheria itungwe ili dada zetu wasiendelee kuathirika na swala hili, kama kuoa tuoe kweli, kama ndoa ya mkataba na iwe hivyo kila mtu aridhie kuwa ni kwa kipndi flani au miaka yote. Dada zetu popote walipo usemi wao wa kwanza tu ni kwamba nyie wanaume waongo sana ,hamueleweki wajanja swali ni je? tutaendelea kukubali kuyasikia haya maneno miaka yote? La hasha lazima tukatae, wasichana waiombe serikali isimamie hili lisiwe slogan.