Mkuu wewe hapo kujifanya mwanaharakati wakati hata mitandaoni nimefwatilia nyuzi zako hakuna cha maana pumbavu kabisaHahaha Lissu tukimuonesha huu uzi anagairi asee. Kipindi ye anawaza Katiba kumbe kuna wenzake wanawaza kuitemea mate.
Bongo jau sana aiseeee pipo hazipo seriously at allHahaha Lissu tukimuonesha huu uzi anagairi asee. Kipindi ye anawaza Katiba kumbe kuna wenzake wanawaza kuitemea mate.
Yaani mbolea ukimaanisha haja kubwa..Bila kutemewa mate hogo haliwezi kunasa vizuri kwenye shimo la mbolea.
Cc: Poor Brain Mbaga Jr secretarybird
Shem na wewe!!!Yaani mbolea ukimaanisha haja kubwa..
Sasa mkuu kumbe hayo mate wanatemea nyuma...
Aseeeee mbona ni uchafu wazi wazi huuu hv mnaishije na watu wa namna hii
Nileteeni Esther Bullaya .πππππTukipata Tume Huru Ya Uchaguzi Niiteni Mwantumu.
Lima wewe huyaoniMnauhakika Wazungu waliwanyang'anya wazawa mashamba yenye rutuba wakalima wao kwa nguvu? Mbona hayo mashamba yenye rutuba yapo na wazungu hawapo na hayalimwi.
Mtu kama mleta mada anamchango mdogo sana kwenye taifa , utazame wewe video za Batazar afu uje kutufokea sisi .
Location. Modeko Morogoro
Mbolea si maana yake mavi au..?Shem na wewe!!!
Nimekwambia shimo la mbolea, sio haja kubwaa!!
Unahitaji VETA.
ππππ Mbona kama ni mkorofi hvi we jamaaSi kakutagi ina maana anakujua unatemewa
zalau
Hujui mbolea ya kisasa shem?Mbolea si maana yake mavi au..?