munyambo p
Senior Member
- Aug 18, 2017
- 173
- 167
Mimi ni mwanaumeSafi sana, wewe ni wa ke au me!? Nina safari ya kuja huko kwenu
Itapendeza tukionana hukoMimi ni mwanaume
Ndio ukitaka kuja utaniambia nikupe number yanguItapendeza tukionana huko
Unajua Rwanda kila kitu tunaagiza nje hatuna bahari kwa hiyo utakachofanya chote utafanikiwa ila unatakiwa ufuate utaratibu wa kufanya biashara hkuKuna demand ya biashara gani Rwanda
Hata kwa mwana East African mwenzenu kuna hinders ya kufanya biashara?Unajua Rwanda kila kitu tunaagiza nje hatuna bahari kwa hiyo utakachofanya chote utafanikiwa ila unatakiwa ufuate utaratibu wa kufanya biashara hku
Wewe ni ke?Itapendeza tukionana huko
Huko si ndio nyumbani kwa Ntaharamwe?Habari zenu jamani huku kwetu hatujambo tunaendelea kufurahi na kumushukuru Mungu kwa kuturinda.
Jamani mtu ambae anataka kutembelea kwetu huku Kigali Ni karibu kabisa maana sisi sote Ni ndugu
Kwahiyo walio na bahari kama sisi ndio hatuagizi nje?Unajua Rwanda kila kitu tunaagiza nje hatuna bahari kwa hiyo utakachofanya chote utafanikiwa ila unatakiwa ufuate utaratibu wa kufanya biashara hku