mimi na familia yangu, pamoja na marafiki tungependa kutembelea kituo cha watoto yatima katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhan, lakini hatujui mahala vituo hivi vinapatikana, tungependa kutoa msaada wa mahitaji mbali mbali lakini si pesa.
kwa mwenye taarifa wapi hivi vituo vinapatikana na ni yapi mahitaji yao ya muhimu?
natanguliza shukrani za zati kwa msaada wenu wa majibu yenye kufanikisha ibada yetu muhimu.
Kamanda, hongera sana kwa kupata wazo la kuwatembelea watoto yatima. Kuna kituo cha yatima cha serekali kule Kurasini ambako kuna watoto takribani 60. Kimsingi serekali haikitazami... Msimamizi wa kituo anaitwa Ramadhani na simu zake ni 0772/0712/0782/0752 - 161610
Inampendeza Mwenyezi Mungu kuwajali yatima na wajane. Ni vizuri kujenga utamaduni huu kwa vipindi vyote vya mwaka. Bila kusahau kuna wafanyakazi pale hivyo kama unapeleka msaada ni busara kuwakumbuka nao maana hali zao si vema kivile.
Ubarikiwe sana wewe na uzao wako na marafiki zako mlioguswa na watoto yatima.
NB: Naliwahi pewa namba ya watoto yatima walioko Chamazi. Sijawahi watembelea. Namba yao ni 0754 439459
hongera sana jamani kuna kituo kimoja kipo kigogo kituo cha daladala randa bar if you want more details please nipm,ila naomba nikuulize unauhakika kwenye ukoo wako hakuna mtu anayehitaji msaada?maana kidini haiswihi kutoa msaada kwa jirani kabla ya watu wako wa karibu.Ni katika kukumbushana tu
Nilishawahi kwenda hapo, kama unataka kwenda kimya kimya wala hakuna komlikesheni we unaenda tu na mizigo yako pale ofisi basi... Ila kama unataka kwenda na waandishi wa habari hapo wanasema kuna utaratibu wa kupata ruhusa....Kamanda, hongera sana kwa kupata wazo la kuwatembelea watoto yatima. Kuna kituo cha yatima cha serekali kule Kurasini ambako kuna watoto takribani 60. Kimsingi serekali haikitazami... Msimamizi wa kituo anaitwa Ramadhani na simu zake ni 0772/0712/0782/0752 - 161610
Inampendeza Mwenyezi Mungu kuwajali yatima na wajane. Ni vizuri kujenga utamaduni huu kwa vipindi vyote vya mwaka. Bila kusahau kuna wafanyakazi pale hivyo kama unapeleka msaada ni busara kuwakumbuka nao maana hali zao si vema kivile.
Ubarikiwe sana wewe na uzao wako na marafiki zako mlioguswa na watoto yatima.
NB: Naliwahi pewa namba ya watoto yatima walioko Chamazi. Sijawahi watembelea. Namba yao ni 0754 439459

By Choka mbaya

Kamanda, hongera sana kwa kupata wazo la kuwatembelea watoto yatima. Kuna kituo cha yatima cha serekali kule Kurasini ambako kuna watoto takribani 60. Kimsingi serekali haikitazami... Msimamizi wa kituo anaitwa Ramadhani na simu zake ni 0772/0712/0782/0752 - 161610

Inampendeza Mwenyezi Mungu kuwajali yatima na wajane. Ni vizuri kujenga utamaduni huu kwa vipindi vyote vya mwaka. Bila kusahau kuna wafanyakazi pale hivyo kama unapeleka msaada ni busara kuwakumbuka nao maana hali zao si vema kivile.

Ubarikiwe sana wewe na uzao wako na marafiki zako mlioguswa na watoto yatima.

NB: Naliwahi pewa namba ya watoto yatima walioko Chamazi. Sijawahi watembelea. Namba yao ni 0754 439459
Nilishawahi kwenda hapo, kama unataka kwenda kimya kimya wala hakuna komlikesheni we unaenda tu na mizigo yako pale ofisi basi... Ila kama unataka kwenda na waandishi wa habari hapo wanasema kuna utaratibu wa kupata ruhusa....
Naibili hizi rehema za Zakat al-Fitr vema kula wote. Check PM!mimi na familia yangu, pamoja na marafiki tungependa kutembelea kituo cha watoto yatima katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhan, lakini hatujui mahala vituo hivi vinapatikana, tungependa kutoa msaada wa mahitaji mbali mbali lakini si pesa.