Madbackisson
Member
- Jun 10, 2019
- 10
- 6
Ngoja waje wale wapenda maneno sukari!!. Mana hawatakagi maneno ka haya ujue. 😀😀mlisababisha nilimwe BAN nyinyi MISIFA FC.........endeleeni kubunya njuruku za ponjoro bure mwaka huu....{bila okwi ni bilabila}
Cha kwenu vipi mtani, kimekauka au bado?.... ShadeeyaHiki kidonda kilishawakauka naona unataka kuwatonesha.