Kutapika safarini, nini tiba/kinga? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kutapika safarini, nini tiba/kinga?

Discussion in 'JF Doctor' started by MKUNGA, Jan 9, 2012.

 1. MKUNGA

  MKUNGA JF-Expert Member

  #1
  Jan 9, 2012
  Joined: Dec 10, 2009
  Messages: 443
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  SALAM,

  Hivi, nini chanzo cha kutapika safarini kwa watoto na watu wazima? Jee kuna kinga ama kinga yoyote?
  Msaada tafadhali.
   
 2. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #2
  Jan 9, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,978
  Likes Received: 6,621
  Trophy Points: 280
  usile sana. jitahidi kutembea na mfuko wa rambo kwa dharula. kesho unasafiri nini? Mia
   
 3. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #3
  Jan 9, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Motion, nerves na harufu ya mafuta ya gari,

  Na mimi nilikua hivyo hivyo. Nwy dawa ya kutotapika (sio kujisikia vibaya) ni kutokula sana kabla ya safari na wakati wa safari, especially vitu vitamu vitamu na liquid.
  Mnaweza mkatembea na limao awe analamba lamba akianza kujisikia vibaya, safirini akiwa amechoka ili alale(hii ni nzuri sana), kaeni sehemu ambayo.hatingishwi sana na gari au anaweza akatafuna kitu kikavu kikavu ili mate yasimjae mdomoni. Binafsi mahindi ya kuchoma hua napenda sana.

  Ohh na kunywa maji ya baridi sana kunaweza kusaidia.
  Hizi ni njia ambazo nilitumia na nnaendekea kutumia nikiwa sijisikii vizuri wakati wa safari, might not work for you.
   
 4. Tz-guy

  Tz-guy JF-Expert Member

  #4
  Jan 9, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Pole sana kama huwa unatapika ila dawa siijui. Halafu hili jambo naona linawatokea hasa wanawake maana sijawai kuona midume ikitapika.
   
 5. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #5
  Jan 9, 2012
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Wengi wanasumbuliwa na hali kama hiyo safarini,isitoshe ni kero kwa wengine na usumbufu!Harufu ya mafuta ya gari,hewa nzito ndani ya gari,ukosefu wa oxygen na harufu ya watu husababisha mtu kupata au kujisikia kichefu chefu na kutapika!dawa rahisi ni kujitahidi kusinzia na kulala ukiwa unasafiri,jaribu pia kumeza dawa ya usingizi kabla ya kusafiri!usile ovyo na jaribu kupata hewa safi kwa kufungua madisha ya gari!
   
 6. babayah67

  babayah67 JF-Expert Member

  #6
  Jan 9, 2012
  Joined: Mar 28, 2008
  Messages: 493
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Dawa ya Kuzuia usitapike hovyo safarini ni kama ifuatavyo :Tafuta shilingi kumi au lile gome la shilingi tano za zamani, na kila unaposafiri unaishikiria mkononi kwa kuiweka na kufunga mkono mfano wa ngumi, basi nakwambia utafika hadi unapoenda bila kuhisi kichefuchefu au kutapika, hata kama ulikula hadi ukavimbiwa. Njia nyingine kama wewe lahizo hapo juu na unaifunga kwenye moja ya pindo lahizo hapo juu na unaifunga kwenye moja ya pindo lako la kanga basi hutatapika hadi unafika safari yako. Hii ni dawa alokuwa akiitumia marehemu bibi yangu Mungu amlaze mahali pema peponi.:lol:
   
 7. Tz-guy

  Tz-guy JF-Expert Member

  #7
  Jan 9, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mh! Hapa kuna kitu veri veri serious. Una uhakika hilo gome alilotumia lilikuwa la kawaida, fanya utafiti. Unaweza kukuta lilifanyiwa upembuzi yakinifu na wangwana ndio likawa dawa.
   
 8. n

  ngwana ongwa doi Member

  #8
  Jan 9, 2012
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 75
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni mambo ya kiimani zaidi tatizo ni pale imani anaposhindwa kufanya kazi,inanikumbusha mzee mmoja urambo kwa sitta mzee mmoja alichanjwa dawa ya kutoonekana(bowija) ili watoza kodi wakija wasimuone maana alikuwa mfugaji wa mifugo mingi,baada ya siku kadhaa jamaa wakaja nyumbani wakaanza kumuuliza kama ameshalipa kodi alikaa kimya akiamini hawamuoni mpaka walipomkamata tanganyika jeki na kutokomea naye teheeeeee!
   
 9. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #9
  Jan 9, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 6,297
  Likes Received: 3,024
  Trophy Points: 280
  Dah ht mm nikisafr huwa natapika kwakweli.so niliacha kula chchte wkt wa safr na kabla ya safar. Ila ctasahau kpndi niko advance nilisafr na basi kutoka mza kwa kuwa natapika ckunywa ht chai asbh...sfr ikaanza saa 12. Kwa bahati mbaya gari ikaharibika njiani na kupelekea kufika hm saa 7 ucku...hyo njaa yake cpati kuelezea.. Lkn kadri cku zilivyokuwa zinaenda nikazoea kutokula kbc safarn...
   
 10. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #10
  Jan 9, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Kama mtu hauwezi kusafri bla kula,angalau tumia vyakula vigumugumu kama biscuti nk...
   
 11. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #11
  Jan 9, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,978
  Likes Received: 6,621
  Trophy Points: 280
  mimi huwa sitapiki hata nikikaa nyuma kwenye roli ikanichekecha vipi. kama vipi nakunywa zangu castle milk stout tatu na nyama choma , mchezo umekwisha. inategemeana na mtu hasa kama hajazoea kusafiri mala kwa mala. kuna vile vidonge vya kuzuia kutapika kwa wanawake wajawazito, sijui kama vinaweza saidia. jaribu kumpm dr.riwa kabla ya kutumia. Mia
   
 12. MKUNGA

  MKUNGA JF-Expert Member

  #12
  Jan 9, 2012
  Joined: Dec 10, 2009
  Messages: 443
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
   
 13. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #13
  Jan 9, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Usipate shida meza phenegan au avomine kidong kimoja b4 hujaanza safari utapata usingizi mwororo na utakula tani yako hutosikia tena kichefuchefu wala nini tatz la kutapika linachangiwa na kuendekeza umbea wa kuangalia angalia barabarani kuna nini hivyo basi likiwa linakimbia vitu vinavyoonekana njiani huwa navyo kama vinatembea macho hulegea kw a kuchoka kufuatilia hivyo hupelekea msafiri kukinai na kumezameza mate ambayo huleta kichefux2 kama huwezi lala tumia hizo dawa na uache kupepesa pepesa macho kama sungura uwapo safarini!!
   
 14. K

  Kanyigo JF-Expert Member

  #14
  Jan 9, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 959
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  nilpokua konda kuna mama mmoja alimtapikia brazamen mmoja amevalia vizuri.huyo mama alioga matusi ya nguoni.
   
 15. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #15
  Jan 10, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,128
  Trophy Points: 280
  Pamoja na hayo kuna vitu vingine huwa vinasababisha mtu atapike njiani.

  1. Ukiwa na maleria mwilini
  Mara nyingi ukiwa na maralia mwilini theni ukasafiri ile mitikisiko hufanya mtu atapike

  2. Ukiwa na nyongo nyingi sana mwilini.

  HII NDO SABABU KUU KULIKO ZOTE ZINAZO FANYA WATU WATAPIKE WAKATI WA KUSAFIRI, UKIWA NA KIWANGO KIKUBWA CHA NYONGO MWILINI NI LAZIMA UTAPIKE WAKATI WA KUSAFIRI, NYONGO HAIPATANI NA MTIKISIKO WA AINA YOYOTE ILE NA SI KWENYE BASI TU, HATA UKIPANDA GARI DOGO,

  Mfano: Kukiwa na Mabampusi mengi njiani na katika eneo moja mfano kwenye madaraja, ule mtikisiko wa Mabampusi razima utapike kama unakiwango kingi cha nyongo

  - TIBA YA HII, KABULA YA KUSAFIRI HAKIKISHA UNAONDOA NYONGO YOTE MWILINI, KUNA DAWA NYINGI SANA ZA KUONDOA NYONGO, UKIONDOA NYONGO UTASAFIRI BILA TATIZO LOLOTE HATA KAMA UKILA KIASI GANI

  - Ulaji wa vyakula si tatizo, ila Ukiwa na kiwango kingi cha nyongo mwilini hata usipo kula kitu razima utapike- HUWA INATIBULIWA NA MITIKISIKO, HATAUKIKIMBIA UMBALI MFREFU KAMA UNANYONGO NYINGI UTATAPIKA.

  3. KWA AMBAO HAWANA TATIZO LA NYONGO ILA WAKISAFIRI WANATAPIKA,

  - Usinywe chai ya Maziwa wakati wa kusafiri, maziwa huwa nayo hayapatani na mitikisiko tumboni

  - Usitumie vitu vyenye sukari nyingi

  - Hakikisha madirisha yako wazi, Hewa ikiwa nzito nayo husababisha mtu atapike
   
 16. N

  NIMEKIMBIA CCM Senior Member

  #16
  Jan 10, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 193
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mi mwenyewe nlikuwa na tatzo kama lako, na nligundua kuwa sabbu ni kutokuwa mzoefu wa kusafir mara kwa mara,but ukpata safar za mara kwa mara alafu zwe ndfu kwa bas si chn ya masa 5.bac tatzo ltakwisha.
   
Loading...