Kutana na Mwanajeshi wa Marekani aliyemuua Osama

Kutana na Mwanajeshi wa Marekani aliyemuua Osama

maroon7

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
11,345
Reaction score
15,850
1415211851228_wps_2_Robert_O_Neill_Navy_Seal.jpg

1415211847820_wps_1_Robert_O_Neill_Navy_Seal.jpg

UK Daily Mail has revealed the identity of the Navy Seal who shot terror chief Osama bin Laden dead in the special force's most famous operation at Abbottobad, in Pakistan, on 2 May 2011. His name is Rob O'Neill, 38, (pictured above), a highly-decorated veteran who quit after 16 yrs service.

O'Neil waived his anonymity recently and agreed to sit down with Fox News later this month to talk about his life and that operation that finally brought some peace to America and its allies.

In an exclusive interview with MailOnline Rob's father, Tom O'Neill, said he's not afraid that his son has gone public "People are asking if we are worried that ISIS will come and get us because Rob is going public. I say I'll paint a big target on my front door and say come and get us.'

1415212101727_wps_3_Former_Navy_Seal_Team_6_m.jpg

The former member of SEAL Team Six from Butte, Montana, has been portrayed on screen in Zero Dark Thirty, Captain Phillips and Lone Survivor.

The US military are not in agreement of his coming out now to talk about the operation and he now faces being frozen out of its circles for these closely-held secrets.

He is now a regular motivational speaker. He talks about applying the lessons of his time in the SEALs to business decision making.

O'Neill is the second SEAL of the 23 involved in the raid to make his identity public. He said his decision to speak out was prompted by losing some of his military benefits by quitting the SEALs after 16 years rather than staying for a full 20 years of service.
 
This is what distinguish USA from being a better Force... little discipline, publicity and show off which are elements contrary to best level of any army...!!
 
This is what distinguish USA from being a better Force... little discipline, publicity and show off which are elements contrary to best level of any army...!!

Wao kila kitu ni biashara... Kila mtu anawaza kuwa milionea kwa njia yoyote popote alipo
 
Ndio maana nalipenda jeshi langu la JWTZ-nidhamu! Huyu dogo hana nidhamu kabisa.
 
This is what distinguish USA from being a better Force... little discipline, publicity and show off which are elements contrary to best level of any army...!!

Hakuna jeshi bora kwa nidhamu,hicho sio kigezo cha ubora wa jeshi maana ni subjective,wewe unaweza kusema hili lina nidhamu mwingine akaona huo ni uoga.

Ubora wa jeshi haupimwi kwa nidham bali vifaa,teknolojia,kukabiliana na majanga,nk,nidhamu ni za mwisho kabisa. Kwa mtazamo wako jwtz is the best military in the world maana lina nidhamu,sio?
 
Jwtz wana nidhamu au uoga?
Kwanza ni wezi balaaa.
Je lile jizi lillilokuwa na cheo cha Lt. Gen- Shimbo aliyekuwa mnadhimu wa jeshi alikuwa ana nidhamu yule?
Wacheni blablaaa...
 
Jamaa ameshiriki mission ops 400 ameua targets 30.

Ukimuona huwezi amini , jamaa ni mwongeaji mzuri, mcheshi.

Nimeangalia video zake youtube.
Akihadhithia mission ya kumuokoa captain philips.
 
Hakuna jeshi bora kwa nidhamu,hicho sio kigezo cha ubora wa jeshi maana ni subjective,wewe unaweza kusema hili lina nidhamu mwingine akaona huo ni uoga.

Ubora wa jeshi haupimwi kwa nidham bali vifaa,teknolojia,kukabiliana na majanga,nk,nidhamu ni za mwisho kabisa. Kwa mtazamo wako jwtz is the best military in the world maana lina nidhamu,sio?

Umepitia jeshi kaka...?? Tunzie hapa kwanza...??
 
Ubora wa jeshi haupimwi kwa nidham bali vifaa,teknolojia,kukabiliana na majanga,nk,nidhamu ni za mwisho kabisa.

sidhani kama unalielewa uliloliandika hapa, au unaelewa ila hukusoma kabla ya kupost
 
Umepitia jeshi kaka...?? Tunzie hapa kwanza...??

kaka, hata ambaye hajapitia hilo ni jambo rahisi sana kulifaham hata kwa kuangalia mzee mzima akimpigia saluti kijana mdogo
 
kaka, hata ambaye hajapitia hilo ni jambo rahisi sana kulifaham hata kwa kuangalia mzee mzima akimpigia saluti kijana mdogo

Nina maana ya kuuliza lile swali kwasababu moja nguzo muhimu katika mafunzo ya jeshi cha kwanza ni nidhamu iwe uofisa ama uaskari lazima kwanza ufunzwe nidhamu tena ya hali ya juu... Sasa atakapo bisha nitampa somo..
 
Hizi habari za kuuliwa kwa Osama bin Laden ni uwongo mtupu. Osama alikufa kwa maradhi kabla ya hii filam kutengenezwa.

Ushahidi ya kuwa Osama aliuliwa na Wamarekani haupo na kama kweli wangeonesha maiti yake kama za Saddam Huseein na wanawe au hata kama tulivyoona wa Col. Ghadafi.

Wamarekani wameshindwa kutoa ushahidi zaidi ya kuonesha sanduku eti lina maiti ya Osama.
 
hii ni habari mpya kwangu, naomba ushahidi tafadhali mkuu nizidi kuelimika
 
Hizi habari za kuuliwa kwa Osama bin Laden ni uwongo mtupu. Osama alikufa kwa maradhi kabla ya hii filam kutengenezwa.

Ushahidi ya kuwa Osama aliuliwa na Wamarekani haupo na kama kweli wangeonesha maiti yake kama za Saddam Huseein na wanawe au hata kama tulivyoona wa Col. Ghadafi.

Wamarekani wameshindwa kutoa ushahidi zaidi ya kuonesha sanduku eti lina maiti ya Osama.

Tupe wewe picha wewe uliyehudhuria mazishi ya Osama au tuoneshe kaburi.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Hakuna jeshi bora kwa nidhamu,hicho sio kigezo cha ubora wa jeshi maana ni subjective,wewe unaweza kusema hili lina nidhamu mwingine akaona huo ni uoga.

Ubora wa jeshi haupimwi kwa nidham bali vifaa,teknolojia,kukabiliana na majanga,nk,nidhamu ni za mwisho kabisa. Kwa mtazamo wako jwtz is the best military in the world maana lina nidhamu,sio?

Wapingana kuhusu muuaji wa Bin Laden

Saa 2 zilizopita

Mshirikishe mwenzako

[http://ichef]Makazi ya Osama bin Laden, huko Abbottabad, Pakistan

Utata umetanda miongoni mwa wananchi nchini Marekani kutaka kujua ni askari yupi hasa aliyefyatua risasi iliyomuua Osama Bin Laden, zaidi ya miaka mitatu baada ya kifo cha kiongozi huyo wa kundi la kigaidi la al-Qaeda, baada ya kuibuka madai tofauti.

Askari wa zamani wa kikosi cha Seal cha wanamaji wa Marekani, Robert O'Neill, mwenye umri wa miaka 38, ameliambia gazeti la Washington Post katika mahojiano mapya kuwa ndiye alifyatua risasi iliyomuua Osama.

Maelezo hayo yanapingana na yale ya Matt Bissonnette, askari mwingine wa zamani wa kikosi cha Seal aliyeshiriki katika operesheni ya kumsaka katika maelezo yaliyotolewa katika kitabu mwaka 2012.

Bin Laden, kiongozi wa al-Qaeda aliuawa mwaka 2011 katika shambulio lililofanywa na kikosi cha Seal katika makaazi yake katika mji wa Abbottabad, nchini Pakistan.

Bwana O'Neill, ambaye alistaafu jeshi mwaka 2012, alilieleza hayo jarida la Esquire bila kujitambulisha.

Alipangwa kujitambulisha katika mahojiano ya televisheni baadaye mwezi huu, lakini mtandao mmoja ulichapisha mapema jina la Bwana O'Neill kinyume na uamuzi wake wa kujitokeza hadharani, linaripoti gazeti la Post.

Bwana O'Neill amesema yeye pamoja na askari mwingine ambaye hajatambulishwa hadharani walipanda hadi ghorofa ya tatu katika makaazi yake huko Abbottabad, nchini Pakistan na alimwona Bin Laden akitoa kichwa nje ya mlango katika moja ya vyumba vya nyumba hiyo.

[http://ichef]Rais Obama na timu ya usalama wa taifa wakifuatilia operesheni ya kumsaka Osama bin Laden

Obama na timu yake ya usalama wa taifa walifuatilia shambulio hilo la Marekani katika makaazi ya Bin Laden.

Komandoo ambaye hakutajwa jina, akiwa amesema katika eneo lake katika muundo wa shambulio hilo alimfyatulia risasi lakini alimkosa, kwa mujibu wa Bwana O'Neill.

Hapo hapo, Bwana O'Neill alikwenda katika chumba na kumuua kiongozi wa al-Qaeda kwa kumpiga risasi kichwani, amesema.

Hata hivyo katika kitabu No Easy Day, Bwana Bissonnette amedai alikuwa mtu wa mstari wa mbele ambaye alimuua Bin Laden.

Alhamisi, Bwana Bissonnette hakupinga moja kwa moja madai ya Bwana O'Neill, katika mahojiano na shirika la utangazaji la Marekani, NBC.

"Watu wawili tofauti wakieleza habari mbili tofauti kwa sababu mbili tofauti," Bwana Bissonnette aliliambia shirika hilo la utangazaji.

"Chochote alichosema, amesema. Sitaki kukizungumzia."

Bwana Bissonnette amepangwa kuonekana katika kipindi cha jarida la CBS dakika 60 kabla ya kuchapishwa kitabu chake cha pili, No Hero, kuhusu huduma yake katika kikosi cha Seals.

Wakati huo huo anachunguzwa kwa kufichua taarifa muhimu katika kitabu chake cha kwanza, kuhusu shambulio dhidi ya Bin Laden.

[http://ichef]Osama bin Laden kiongozi wa al-Qaeda

Taarifa kuhusu kile kilichotokea huenda isitolewe na serikali ya Marekani kwa miaka mingi.

Maafisa wa wizara ya ulinzi ya Marekani hawajakanusha wala kuunga mkono maelezo ya Bwana O'Neill, lakini wiki iliyopita, viongozi waandamizi wa operesheni maalum walituma barua kwa askari wote wa kikosi cha wanamaji cha Seals wakiwataka kuheshimu maadili ya kazi yao kwa kutotoa taarifa za operesheni za kikosi hicho, ikiwa ni pamoja na kuepuka kutafuta umaarufu wa umma".

"Hatutakiwi kufungamana na ubinafsi na kupuuza maadili yetu kwa kutafuta umaarufu wa umma na kujinufaisha kifedha," waliandika katika barua hiyo.

Bin Laden alithibitika kuuawa katika shambulio hilo na mwili wake ulizikwa baharini.

Giza na msongamano wa nyumba katika makazi hayo kumefanya baadhi ya askari wa kikosi cha Seals kuhoji kama inawezekana kubaini ni risasi za nani

Source: BBC ..... soma urudi hapa
 
Wao kila kitu ni biashara... Kila mtu anawaza kuwa milionea kwa njia yoyote popote alipo
hapo ameshajitangaza, kitakachofuata ataandika kitabu kuhusu maisha yake hadi alipomdungua osama, na kitanunuliwa balaaa na atakuwa milionea mkubwa kabisa. wanajua kuzitumia fursa. sio kama wanajeshi wetu wa tz ambao vita ya kagera iliisha, wengine wapo hadi leo serikali imewasahau, kichwani wanacho cha kueleza kwenye kitabu lakini hawana akili ya kutumia opportunity. kalagabaho.
 
Jamaa ameshiriki mission ops 400 ameua targets 30.

Ukimuona huwezi amini , jamaa ni mwongeaji mzuri, mcheshi.

Nimeangalia video zake youtube.
Akihadhithia mission ya kumuokoa captain philips.
Duh,,mkuu hivi kwani ile movie ya captain Philipps kumbe ni kweli?
 
Back
Top Bottom