Kwa hiyo unamaanisha dada zetu watauza utu wao kwa mbwa?Huyu akija bongo atawamaliza mademu zetu wanaopenda hela
Afadhali umetutetea...nmemshangaa sana mtoa mada anaposema wadada changamkieni fursaKwa hiyo unamaanisha dada zetu watauza utu wao kwa mbwa?
Hapana hawajafika huko...Wanajiheshimu saana.
Huyu akija bongo atawamaliza mademu zetu wanaopenda hela
Ananijua?Anasema anataka kukupa mtaji "
Huyu angepita Dar anaibiwa hadi manyoyaKuna paka aliwahi kuachiwa urithi wa £200,000. Watoto wa kihuni walikuwa wanampopoa mawe wakimuona kwa hasira. Alipelekwa kwenye animal shelter kwa usalama wake.
Alisoma na ndege JOHNKwa mujibu wake anasema kwamba mlisoma wote