Kutana na jamaa wa BAF- Mzumbe utajua elimu haina mwisho

SODOKA

JF-Expert Member
Sep 15, 2012
1,658
722
jamaa kasoma degree ya Finance and Accounting Mzumbe baada ya kukaaa mtaani miaka mitatu bila ajira ameamua kuapply diploma ya Clinical medicine mwaka huu.........amemaliza form four mwaka 2007 akapata one ya 12 masomo ya science......

hata wewe unayesoma thread hii jfunze kutoka kwa huyu jamaaa.....,,,

nimekutana nae internet cafe anaaply akiwa na code ya airtel money imegoma kuingia inaandika error.
 
duh kuna baadhi ya faculty ni ngumu sana kupata ajira au kujiajiri aisee
 
Ndo maana siku zoye nasema Soma ili utumikishwe, yaani mtu na digirii yako unakaa miaka mitatu mtaani eti unalia kuwa huna kazi? Kweli tunataka ukombozi wa kifikra katika mfumo wa elimu, haya ngoja amalize kozi akafunge vidonda.
MTU anayesema kaxi za kufunga vidonda ananikera
 
Sasa hiyo pesa ya ada katoa wapi ? In reality haiingii akilin labda alikuwa anatamani hiyo kazi. Uwez niambia unahela ya ada alafu uwezi kujiajili kwa elimu aliyonayo. Labda anaenda kusoma bure
 
Sasa hiyo pesa ya ada katoa wapi ? In reality haiingii akilin labda alikuwa anatamani hiyo kazi. Uwez niambia unahela ya ada alafu uwezi kujiajili kwa elimu aliyonayo. Labda anaenda kusoma bure
Kwani hujui kwamba kuna mikopo chuoni?
 
in short he is stupid-cha kujifunza hapo ni kutikuwa mjinga kama huyo jamaa,labda angesoma kama hobby ningemuelewa ila kwa sababu uliyoitoa hapo juu basi ni mjinga wa karne
 
jamaa kasoma degree ya Finance and Accounting Mzumbe baada ya kukaaa mtaani miaka mitatu bila ajira ameamua kuapply diploma ya Clinical medicine mwaka huu.........amemaliza form four mwaka 2007 akapata one ya 12 masomo ya science......

hata wewe unayesoma thread hii jfunze kutoka kwa huyu jamaaa.....,,,

nimekutana nae internet cafe anaaply akiwa na code ya airtel money imegoma kuingia inaandika error.
Mod 1 Mod 4 futeni huu uzi, unalengo la kuchafua sifa za chuo. Kwanini huyu mleta maada ni muongo;
1. Hakuna masomo ya sayansi tu O'level, kuna mchanganyiko (yeye kasema alikuwa na div ya sayansi)
2. Hana uthibitisho, ni muongo muongo.
Ifahamike mimi sina maslahi na hiyo kozi wala Mzumbe University.
 
Kama alipata one ya point 12, kwa nini asisome bachelor moja kwa moja kwa sababu anasifa za kusoma bachelor?
 
Kadili unavosoma sana ndivo IQ inavokuwa; kadili unavokuwa na IQ kubwa ndivo uchanganuzi(analysis) katika maisha inavokuwa kubwa; uchanganuzi ukiwa mkubwa ndivo unavopata matokeo mabaya kwa kias kikubwa kuliko mazuri. Matokeo mabaya katika uchanganuzi wako yakitawala ndivo ma genius wanavokuwa mazuzu kwa muonekano kuliko akili zao kichwani:
Wakionekana mazuzu ndivo wanavo penda kuajiliwa kuliko kuji ajiri , eti kwa sababu tu wanaogopa kupata hasara

Mfano; watu wenye IQ kubwa wengi wameajiliwa NASA na mashirika makubwa ya uzalishaji na intellijensia; wa kwetu bongo wanasoma na kusoma tena;

Angalizo; elimu ni muhimu sanasana kwa ajili ya kukufanya ujitambue na siyo kukufanya ufaulu vyema ili uaji liwe; ukifaulu ukakosa ajira utajiua

Wenye akili nyingi walioshituka mapema kwamba uwezo wao ni mkubwa kuliko mitaala ya nchi zao walikimbia shule au walijiandaa kutokuajiliwa na Leo ni matajiri wakubwa duniani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom