Kutana na harusi ya aina yake

CHUKI BINAFSI IMEKUJAA, YANI B`DAM TUNA MENTALITY ZA U`NEGATIVITY KILA KUKICHA. YES, OK TUSEME ANA PESA, ALHAMDULILLAH MUNGU KAMPA AKILI YA KUFANYA KAZI KAZIPATA NA AKAWEZA LIPIA MAHARI KUPATA UBAVU WAKE WA PILI.. NYIE MSIO NAZO MTABAKIA KUWA NEGATIVE HVYO HVYO, WENZENU KILA J`MOS WANAOA!
Alioa Remmy ongala, eti jamaa sura mbaya, unajua moyo wake ukoje, et w`wake ni wawakilishi wa lucifa, please ulizaliwa na mwanaume nini wewe. (yani i took it personal kabisa), huwezi tukana wanawake kisa wanafanya vitu visivyokupendeza wewe kiumbe mmoja...
 
wazazi wa huyu binti watakuwa wanalipa deni....duhhh
 
Ngoma ni kwenye kula papuchi sasa
 
Nasemaje mission impossible, yani mechi lazima itakuwa ngumu kucheza
Ndo kwanza itakuwa nyepesi. Kwa mtazamo wangu hii kapo ipo vizuri tu kwani kuoana wote mabonge au wote vimbaumbau pia haipendezi. Hapo ndo sawa, mission possible
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…