Pmoses95 Member Joined Apr 16, 2014 Posts 43 Reaction score 159 Sep 26, 2022 #1 Karibu kwa ujenzi Imara wa nyumba. Tunajenga majengo ya kawaida na ghorofa. Tunafanya ukarabati wa majengo yaliyo chakaa. Tunafanya ujenzi wa mfumo wa kisasa wa majitaka usiojaa. Bei zetu ni nafuu na zinazingatia maisha ya mtanzania. Tunapatikana Dar es salaam lkn kazi tunafanya popote ndani ya mipaka ya Tanzania.. Karibuni Sana. Hapa jamii forum SI mgeni kwa haya mabandiko. Hapo awali nilijulikana Kama "Paul building agancy". na Nina mabandiko mengi hapa kwa hili jina. Lkn naona kwa Sasa user name hili silipati kwa Sasa. Instagram napitikana kwa jina la FUNDI MAHIRI WA UJENZI . MAWASILIANO. 0655173113 calls & whatsup 0624088590 pmoses951@gmail.com
Karibu kwa ujenzi Imara wa nyumba. Tunajenga majengo ya kawaida na ghorofa. Tunafanya ukarabati wa majengo yaliyo chakaa. Tunafanya ujenzi wa mfumo wa kisasa wa majitaka usiojaa. Bei zetu ni nafuu na zinazingatia maisha ya mtanzania. Tunapatikana Dar es salaam lkn kazi tunafanya popote ndani ya mipaka ya Tanzania.. Karibuni Sana. Hapa jamii forum SI mgeni kwa haya mabandiko. Hapo awali nilijulikana Kama "Paul building agancy". na Nina mabandiko mengi hapa kwa hili jina. Lkn naona kwa Sasa user name hili silipati kwa Sasa. Instagram napitikana kwa jina la FUNDI MAHIRI WA UJENZI . MAWASILIANO. 0655173113 calls & whatsup 0624088590 pmoses951@gmail.com
fogoh2 JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 6,029 Reaction score 6,376 Sep 26, 2022 #2 kampuni yako ya ukandarasi inaitwaje,ofisi ziko wapi
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,986 Reaction score 30,180 Jan 20, 2023 #3 Nyumba vyumba vinne vyenye sebule, jiko, dining na vyoo unajenga Kwa kiasi Gani?