NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,206
- 12,747
Natafuta shamba huko, lipo?Habari zenu wakuu!! Naomba niende Moja Kwa Moja kwenye point ili nisiwachoshe,
Kwa mahitaji ya NYUMBA, VYUMBA, VIWANJA, VITU VYA NDANI VILIVYOTUMIKA NA NK. ndani ya mji wa morogoro mjini dalali nipo hapa
Na pia kama una nyumba au kiwanja unauza au unapangisha usisite kunitafuta .
Mawasiliano 0673707284
What's app no 06236897
KARIBUNI WAKUU
Mkuu tuwasilianeNatafuta shamba huko, lipo?
Nikipata nauli nitakutafuta, nimesubscribe kabisa huu uzi
Vipo upo wapi aiseee????Vitu vya ndani vilivyotumika nahitaji godoro na kitanda 5x6
Kiwanja cha milion 1 kinapatikana??
Mkuu unapata Kwa hamsiniNataka chumba self
maeneo ya msamvu karibu na barabara ya lami. Ntapata kwa sh ngapi
Poa karibu ukija tuwasiliane mkuuOk nakujawiki ijayo
Mkuu umepotea sanaNataka chumba self
maeneo ya msamvu karibu na barabara ya lami. Ntapata kwa sh ngapi
Mkuu umepotea sana
Nataka chumba self
maeneo ya msamvu karibu na barabara ya lami. Ntapata kwa sh ngapi