Kutana na akinamama wa Zimbabwe wanabaka kisa mbegu dume na ushirikina.......... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kutana na akinamama wa Zimbabwe wanabaka kisa mbegu dume na ushirikina..........

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Rutashubanyuma, Oct 17, 2011.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Oct 17, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,977
  Likes Received: 420,627
  Trophy Points: 280
  Nimepitia khabari hii na ikanishtua.........ya kuwa ushirikina unavyowachochea akina mama Zimbabwe kubaka wanaumme ili kupata mbegu zao kwa ajili ya nguvu za giza.............jisomee...........wanaumme waliozoea dezo ya kuomba lifti ndiyo waathirika sana na huu ubakaji.........


  Zimbabwean women in court over sex attacks on hitchhikers


  [​IMG]
  A road near Harare. Sophie and Netsai Nhokwara, Rosemary Chakwizira and Thulani Ngwenya allegedly drove around looking for hitchhikers to pick up. Photograph: AP
   
 2. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #2
  Oct 17, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,977
  Likes Received: 420,627
  Trophy Points: 280
  hii kitu inafanana sana na ule ukatili dhidi ya albino.......................utapeli wa tajirika harakaharaka...........
   
 3. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #3
  Oct 17, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Ah hii dunia inajiishia sasa!
  Siwapatii picha washkaji zangu hapa bongo kama hii mambo ikianza kwa Mashangingi ya mjini hapa!
   
 4. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #4
  Oct 17, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,977
  Likes Received: 420,627
  Trophy Points: 280
  vijana wenye kiu ya ngono ya bwerere wanaweza kufikiri wamepata vya bwerere.............
   
 5. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #5
  Oct 17, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,807
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  mwanaume habakwi,anasimamishaje?
   
 6. Bambanza jr.

  Bambanza jr. JF-Expert Member

  #6
  Oct 17, 2011
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 356
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ndo tatizo letu vijana ulimbuken umejaa ila sijapenda ukatili huo!
   
 7. F

  Ford89 Senior Member

  #7
  Oct 17, 2011
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 145
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nijuavyo mimi kwamba moja ya sababu ya kutosimama kwa uume ni hofu.
  Sasa hawa wanaume watasimamisha vip waka tayari wana hofu moyon?
   
 8. innovg

  innovg Member

  #8
  Oct 17, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 91
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 9. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #9
  Oct 17, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,977
  Likes Received: 420,627
  Trophy Points: 280
  siri ipo hapa........................kwanza anashikwa kwa nguvu lishwa madawa ya kulevya.......................halafu akiwa nusu kaputi midada hii inaanza kumpapasasa sehemu nyeti huku kavalishwa kondomu.........................mpaka akojoe tu.....................kazi wanakuwa wamemaliza...................haitofautiani na ile ya kuuza shahawa kwa kuangalia video za triple x...................huku ukijipiga punyeto..................all for hard cash.........

   
 10. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #10
  Oct 17, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,977
  Likes Received: 420,627
  Trophy Points: 280
  ukiwa nusu kaputi hofu nayo inatoweka............................hizi za madawa ya kulevya hata wachuna ngozi huzitumia sana.......................muathirika hujikuta akifanya vitu ambavyo hata kichwani havieleweki kabisa............
   
 11. the grate

  the grate JF-Expert Member

  #11
  Oct 17, 2011
  Joined: Sep 24, 2011
  Messages: 205
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mmh nimeishiwa pumzi..anyway ntarud i wapendwa
   
 12. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #12
  Oct 18, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,977
  Likes Received: 420,627
  Trophy Points: 280
  karibu tena..................
   
Loading...