Kutana DR Charle wa Muhimbili!!


Z

Zamazamani

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2008
Messages
1,638
Likes
366
Points
180
Z

Zamazamani

JF-Expert Member
Joined Jun 13, 2008
1,638 366 180
Dah
Huyu 'dokta' inasemekana amekuwa akitibu wagonjwa pale Muhimbili bila kuwa na ajira wala kufahamiKa na mtu yeyote kwa kipindi kidogo...Wafanyakazi na wagonjwa wamekuwa wakimlalamikia kuwa anawasumbua kwa muda mrefu...yeye anadai ameletwa na bosi wa pale...Ninachojiuliza hivi inawezekana mkafanya kazi na mtu ambaye hajulikani ametokea wapi...then haeleweki anachofanya ..mnaendelea kulalamika kuwa anawasumbua wafanyakazi na wagonjwa halafu kazi yenyewe ni sensitive kama udaktari tena katika hospitali nyeti ya Muhimbili???Nimeshindwa kupata picha ya jinsi huyu jamaa alivyo savaivu kipindi chote pale MNH...kama kuna mtu aliyeelewa au mwenye nyeti zaidi amwage hapa.....
habari zaidi soma http://www.mwananchi.co.tz/newsrids.asp?id=17299
 

Forum statistics

Threads 1,250,278
Members 481,278
Posts 29,726,867