M mkulima maskini JF-Expert Member Joined May 3, 2015 Posts 254 Reaction score 50 Dec 11, 2016 #1 Wanajamvi naomba msaada jinsi ya kutambua picha ilipigwa lini, wapi na muda gani....asanten wadau
Kibishi JF-Expert Member Joined Nov 17, 2013 Posts 1,139 Reaction score 1,040 Dec 11, 2016 #2 Hapo mashine lazima itumike. Huwezi kung'amua hivihivi bila mashine. Cha kufanya anzia ku google kwenye mashine.
Hapo mashine lazima itumike. Huwezi kung'amua hivihivi bila mashine. Cha kufanya anzia ku google kwenye mashine.
Consultant JF-Expert Member Joined Jun 15, 2008 Posts 11,611 Reaction score 21,137 Dec 11, 2016 #3 mkulima maskini said: Wanajamvi naomba msaada jinsi ya kutambua picha ilipigwa lini, wapi na muda gani....asanten wadau Click to expand... Si umuulize mwenyewe tu? Kama una soft copy, unaweza kuona tarehe na muda (ingawa these can be edited as well).
mkulima maskini said: Wanajamvi naomba msaada jinsi ya kutambua picha ilipigwa lini, wapi na muda gani....asanten wadau Click to expand... Si umuulize mwenyewe tu? Kama una soft copy, unaweza kuona tarehe na muda (ingawa these can be edited as well).
M Mukundumbusya Senior Member Joined Aug 11, 2016 Posts 168 Reaction score 143 Dec 11, 2016 #4 Kama picha ipo online unaweza kujua imewekwa lini. Ila kuhusu siku iliiyopigwa ni issue nyingine. Ngoja watalaam waje
Kama picha ipo online unaweza kujua imewekwa lini. Ila kuhusu siku iliiyopigwa ni issue nyingine. Ngoja watalaam waje