Kutamani vs Kupenda!!!!!!


Ni kweli, ukianza na kutaka kumjua mtu inapendeza zaidi. mdadisi, mtembelee, go out for dinner talk talk and there will come the "i love you" day, baada ya kumjua kiasi cha kukutosha kuamua, kwa kweli inaleta heshima
 
Always NOBLE LIE is accepted! ktk mpenzi ukitaka kuachika mapema,we uwe mkweli kwa kila kitu uone. u wont take round....ila ukipiga na Jingle za kizushi aaaaah....hapo hata Demu aakupenda kinomanoma!
 

ukimwambia unamtamani utapata za mbavu za kutosha
 
wakenya wanapenda kutumia nimekutaman lakin kwa apa tz umwambie mdada anaojieshimu kuwa umemtamani lazima kinuke.
nenda congo umwambie mwanamke nakutamani hakuelewi, mwambie nakupenda anakwambia mimi siyo mutoto yako , ila mwambie nataka leo hii nikuwowe la atacheka huyo na kuanza stori . kwa hiyo inategemea na mazingira yaliyopo USUKUMANI ni kukimbizana tu kama kuku ndiyo kupenda kwao. WAPARE zamani ilikuwa unamvizia mwanamke kisimani na kutafuta masela wako wanabeba demu mpaka gheto kesho mzee haoni binti home kumbe ameppendwa . WAHA unapigwa buyu la ujiji kwa sheikh unapenda mwenyewe . kwa hiyo na kutamani vinatofautiana na mazingira na uelewa wa watu husika kama lugha tafsiri yako ilivyo . mimi huwa nampiga ofa tu atajua mwenyewe kama napenda au natamani
 
Kumtamani demu hiyo lugha ka2mie bar au kwa mke wa m2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…