Kutafuta mpenzi mitandaoni

Mettanich

Member
Joined
Sep 19, 2014
Posts
64
Reaction score
5
Waungwana naomba kuuliza,

Hivi kutafuta mpenzi mitandaoni, ndiyo imekuwaa fasheni au ni kushindwa kuongea na yule umpendaye face to face { domo zege }?
 
ok, vp wewe hujawahi kutafuta demu online

No sijawah...!
coz mtu humfaham, wala hakufaham, hujamjua tabia yake.., umeiyona picha yake, how sure your, kama ndo yeyee...?
your just chating, je kama una chat, na jin...?
Au ndiyo digital ime walahisishia wale wasio jua kutongoza..?
 
Hapana; ni kutumia teknolojia kurahisha mambo sasa wewe unataka zama za kukutana visimani??
 
Hiyo imenirahisishia sana niweze kugegeda watu kutoka sehemu tofauti tofauti. Kuna raha yake mkuu. Naushukuru sana mtandao wa 2go. Umenipa mke na sasa nalea.
 
nilishawahi kumpata gf kupitia Facebook alikuwa na hofu ya Mungu na Tania njema sana... tulipendana sana tu... tulikaa miaka 3 na nusu katika mahusiano... lakn Mungu hakutupa kibali cha kuingia katika ndoa....
huu ni ushuhuda kuwa katika mitandao ya
kijamii wapo wengi wanaojielewa na kujiheshimu na ukibahatika kumpata utafurahia pia... ijapokuwa matapeli ni wengi pia
 
Wanaopatikana mitandaoni ndo haohao wapo mtaani,
Tabia ya mtu huwezi ijua kwakukutana nae njiani tu,
Muonekano wake atakutumia kapicha
 
Jaribu fb, page inaitwa LOVE BEYOND SKIN COLOUR(white men & black women)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…