Habarini za maisha ndugu?
Hongera kwa tulio wazima wa afya, pole kwa wanaoumwa na tunamuomba Mwenyezi Mungu awajaalie wapone na kurejea kuwa na afya njema.
Kama kichwa cha uzi kilivyo hapo juu, ndugu zangu mimi Ninatafuta dada awe mchumba wangu ili mwenyezi Mungu akitujaalia nifunge nae ndoa na kuishi maisha ya pamoja na yeye.
Sifa zangu ni hizi hapa :
[emoji830]οΈNi mrefu (Sentimita 172 au futi 5.64)
[emoji830]οΈSiyo mnene, siyo mwembamba ni wa wastani
[emoji830]οΈrangi ya ngozi ni maji ya kunde
[emoji830]οΈkabila ni muha
[emoji830]οΈDini ni mkristo
[emoji830]οΈNinafanya kazi serikalini
[emoji830]οΈNinaishi Dar Es salaam kwa sasa
[emoji830]οΈnina heshima na ni mstaarabu kwa watu wote.
[emoji830]οΈSina mtoto wala watoto
[emoji830]οΈUmri ni miaka 28 (ntatimiza miaka 29 mwaka huu panapo majaaliwa ya Mungu).
[emoji830]οΈ nina afya njema
[emoji830]οΈ Elimu yangu ni ya chuo kikuu
[emoji830]οΈSifa nyinginezo
Sifa za dada ninayemtafuta ili awe mchumba wangu kwa sasa, na awe mke wangu kwa baadae mwaka huu huu au kabla mwaka ujao 2022 haujaisha, ni hizi :
β Awe mrembo; awe na sura nzuri, kifuani awe na matiti madogo yaliyosimama ambayo hayajalala, miguu mizuri, awe na sauti nzuri, awe na kalio kubwa zuri la kimahaba maana sitaki kuchepuka au kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanamke mwingine zaidi yake yeye.
[emoji830]οΈAwe na tabia njema sana na asiwe na dharau
(Mfano akiwa anapiga magoti akiwa anampa mtu kitu, kukaribisha chakula n.k ninaweza kutoa mahari siku hiyo hiyo [emoji2][emoji2])
[emoji830]οΈAsiwe na mtoto wala watoto
[emoji830]οΈAwe mcha Mungu (awe mkristo)
[emoji830]οΈAwe na afya njema, asiwe na magonjwa kama AIDS, homa ya ini (Hepatitis B), pressure, kisukari, pumu, kifafa, sickle cell anaemia n.k
[emoji830]οΈAwe anaishi Dar es salaam kwa sasa.
[emoji830]οΈasiwe mnene wala mwembamba sana, awe wa wastani
[emoji830]οΈawe na umri kati ya miaka 21 mpaka 25.
[emoji830]οΈAsiwe mfupi, awe mrefu (tukilingana, au mimi nikimzidi kidogo itakuwa vyema zaidi)
[emoji830]οΈAwe na elimu ya kidato cha nne au zaidi ila asizidi elimu ya stashahada (diploma).
[emoji830]οΈAwe mchapa kazi (asiwe mvivu)
[emoji830]οΈAwe na sifa nyinginezo nzuri ambazo mke mwema anapaswa kuwa nazo.
Asiwe mchaga, mhaya, mzaramo, muha wala mrangi. Akiwa Mnyaturu, mmasai (ambaye hajakeketwa lakini) na makabila mengineyo itapendeza zaidi.
Ninataka kuoa, kwa dada ambaye yupo 'serious' na kuanzisha mahusiano yatakayopelekea kufunga ndoa, na ambaye ataridhia (kukubali) sifa zangu, na yeye anazo hizo nilizoainisha, mimi ninamkaribisha PM ili tuwasiliane zaidi.
Asanteni, na ninawatakieni maisha mema, Mwenyezi Mungu awe pamoja na na sisi sote, amina.