miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,011
- 3,708
mgeni room kwako? why asilale hata sebuleni?
That is involuntary action, huwezi kuzuia ni kama chafya, mwache jamaa ajipumzikie hajapenda, shukuru Mungu kwa kukuumba mkamilifu.
pole sana....wanyakyusa mnapenda kusifiwa huko vijijiniMjini kazi kweli.....mother anahofia taarifa mbaya kijijini.Yaan sijalala mpaka sasa hv,natamani nimfinye
Hilo tatizo ni bruxism, inawezekana ana stress sana, au ni mazoea yake tu kutokana na mapengo mdomoni au ni habit tu aliyojifunza toka utotoni.
pole sana....wanyakyusa mnapenda kusifiwa huko vijijini
Kung'ata meno ni matatizo ya kimakuzi zaidi,
kukoroma nayo inachangiwa na namna ya kulala, mtu yoyote akilala kwa mgongo kichwa juu lazima akorome, mapafu yanakuwa kama yanakuja mbele hivyo kunamfanya apumue kwa shida na mkoromo unaanzia kwenye mapafu, Nimejaribu kujibu socially lkn madactari wanaweza kujibu kwa upande mwingine.
Teh teh mgeni kumlaza sebuleni ni kama umemdharau yaani
Nna servant kota empty pande za kwenu....nikupangishe?
Africana....Ipo sehemu gani hapo??
Weee mwache tu.....ntammiminia zanzi sasa hivi
Swaga za kutafuna meno? tehe! tehe! tehe..................Nimemuacha ingawa silali sasa.....me nikajua ni kama swaga jamani
Africana....
Enheeeee mpe iyo zanzi ila si huwa wanasema sijui zinashuka chini sijui...