Samweli Mathayo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2017
- 1,577
- 1,700
KabisaUnafikiri kuna UPINZANI nchi hii!Masaka tonge tu!
Kuna vitu vingine vinachekesha sana ktk siasa za upinzani wa nchi hii, eti waliosusia uchaguzi wa Zanzibar WANAMSHANGAA aliyesusia uchaguzi wa Kenya. Jinga Kabisa
Nchi hiii hatari sana
Kati ya hao unaowaita wajinga na wewe ni nani MJINGA? hivi unawezaje kulinganisha yaliyotokea Zanzibar na Kenya?Kuna vitu vingine vinachekesha sana ktk siasa za upinzani wa nchi hii, eti waliosusia uchaguzi wa Zanzibar WANAMSHANGAA aliyesusia uchaguzi wa Kenya. Jinga Kabisa
Nchi hiii hatari sana
Wewe ndo mjinga, hakuna tofauti hata kidogoKati ya hao unaowaita wajinga na wewe ni nani MJINGA? hivi unawezaje kulinganisha yaliyotokea Zanzibar na Kenya?
Hizo asilimia ni za wapi mbona ni karibu 110% ??!! Au ndio elimu ya kata?!angalia asilimia 98.2% na 11.1% kama zinauhalisia
Wewe ni zaidiWewe ndo mjinga, hakuna tofauti hata kidogo
pambana na hali yako acha upashkuna.Unafikiri kuna UPINZANI nchi hii!Masaka tonge tu!
hata watawala nao ndio sehemu ya jamii hiyo hiyo,maendeleo ya kweli tuta subili sanaUpinzani wa Africa ni janga tupo
Upinzani ufutwe tu tunapoteza kodi
Soma vyombo vya habari.Nani kasusia au unaota upo kwa mzee samweli sita !!?
Kesho watazira?Soma vyombo vya habari.
Huko siyo kususia, bali ni kuzira.
Kuna mtu kapost hiyo ishu. Ngoja niisachi nikuoneshe.Kesho watazira?