Kususia uchaguzi ni aibu,ila maoni ya UKAWA ni aibu zaidi

Kuna watu wanajua "kula" na kipofu. Safari hii Jerry Murro lazima apate shavu maana ana "table manners" za kula na kipofu. Kila enzi na kitabu chake!
Na mleta uzi naye ajitahidi,never touch the hand of a blind while eating meeen
 
Kuna vitu vingine vinachekesha sana ktk siasa za upinzani wa nchi hii, eti waliosusia uchaguzi wa Zanzibar WANAMSHANGAA aliyesusia uchaguzi wa Kenya. Jinga Kabisa

Nchi hiii hatari sana
Kati ya hao unaowaita wajinga na wewe ni nani MJINGA? hivi unawezaje kulinganisha yaliyotokea Zanzibar na Kenya?
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom