Kusuka kwa Wamasai Basi ....

Umenikera sana na kauli zako. Why unaita watu mijitu.

Huna adabu wewe mwanamke
Oooooh umekereka eeh,sasa kwahisani yako usikereke,pita kimnya kimnya usitoe POVU ukazidi kujikera,au kama nimekukera kwa kauli yangu wacha ni apologies SAMAHANI sana kama nimekukera..
 
Uliondoka kwa sababu madudu yao yalikua yanakugusa au kwasababu ya harufu?
Sikupenda ile tabia,yakunizizunguka wakanibana vile na madudu yao ,halafu wanaongea kikwao hata sifahamu,kila ukisogea unakutana nao jengine linakugusa,na sijui why hawaoni mtu umenuna hauko confortable lakini still hata hawajali,na haikua bahati mbaya hata kidogo..
 
Kuna dada yangu alikua anawaambia waende bafun wakaoge kabla ya kumsuka na alikua anagombana nao wakitemea mate mikononi ili walainishe sijui ni nywele au mikono!!!R.IP Sisy
Wanakera sana,sijawahi kusukwa na wamasai ilikua ndio mara yangu ya kwanza na ya mwisho,wamenifanya sina mood kabisa yakusuka wacha nywele zangu zikae hivi hivi..
 
Hebu ngoja kwanza.

Kilichokukimbiza ni dushe zao kukugusa.au harufu ya vikoi??
 
Oooooh umekereka eeh,sasa kwahisani yako usikereke,pita kimnya kimnya usitoe POVU ukazidi kujikera,au kama nimekukera kwa kauli yangu wacha ni apologies SAMAHANI sana kama nimekukera..
Nimeshakupuuza kwakuwa duniani hapa hakuna maisha ya dharau binadamu wengine bali kurekebishana na kuonyana.

Kama wewe umeona sawa kuwaita Wamaasai "mijitu inayonuka" fine wewe ni mtu unayenukia ila kuna siku utanuka na kuoza.

Kumbuka "hujafa hujaumbika dada yangu"

Sina muda wa kutoleana povu na malaika kama wewe...
 
Usijikere kwahisani yako sio vizuri,umekereka eeh,usijibu ukajikera ebu achana na hii habari usiji udhi nafsi yako nimesema hivyo sababu wa.linikera sasa usichukulie too personal as if nimekwambia wewe,nimesema wamasai tena wale walio nisukaa wewe sio ulie nisukaa wala sio mmasai sasa unajikerea nini?kwa hisani yako usiudhike...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…