Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,951
- 61,758
ha ha ha ha na wengi tunaishi tu ili mradi tunaishiMost of us are confused, or redirected to unknown purposes
ha ha ha haIlimradi mkono uende kinywani
Ni kweli mkuu je wewe unafanya hivyoLengo kuu na kusudio la kuja duniani ni kumcha MweziMungu
Yeah namcha Mungu, ingawaje mara kidogo sana nakosea kama binaadam tulivyoumbwa kukosea ila pia naomba msamaha kila ninapokoseaNi kweli mkuu je wewe unafanya hivyo
Kama kuna anaye jua kusudio lake bac tufahamishaneKila mtu aliletwa duniani kwa kusudio maalumu,je kusudio lako umelitekeleza au bado?Au na wewe haujui kusudio lako kama mimi,tunaishi tukitafuta,tunakula na kulea familia na baadaye kungojea siku ya mwisho?
ha ha ha swali gumu mkuuKama kuna anaye jua kusudio lake bac tufahamishane
ha ha ha ha fungu la kumi unatoa kwa uaminifu bila kupunjaYeah namcha Mungu, ingawaje mara kidogo sana nakosea kama binaadam tulivyoumbwa kukosea ila pia naomba msamaha kila ninapokosea
[emoji23][emoji23]Kama kuna anaye jua kusudio lake bac tufahamishane
ha ha ha wanawageuza waumini kuwa fursaKuna jamaa ukifika kwenye makanisa yao au kwenye mikutano yao utakuwa wanawamezesha wafuasi kwao kuhusu hizo idea za "kusudi/purpose".
Kiongozi akitakafedha ya kujenga nyumba, waumini wanamchangia.ha ha ha wanawageuza waumini kuwa fursa
ha ha ha haKiongozi akitakafedha ya kujenga nyumba, waumini wanamchangia.
Muumini akihitaji fedha ya kujenga nyumba anafanyiwa maombi.
Lipi hilo mkuuMm Nina kusudi kubwa....Niko mbioni kulitimiza