Ndugu wanajamii forum nisaidieni nini hasa maana ya kustaafu au kustafishwa kwa manufaa ya umma?
Hapo nyuma kidogo neno hili lilitumika sana na wakati fulani Rais alitangazwa kuwa amemstaafisha mtumishi fulani kwa manufaa ya umma.Je kitu hiki kipo hata leo , na kama kipo kinatumikaje , na kama kilifutwa nini sababu zilizo sababisha kufutwa kwake/