Kuna binti mmoja mtoto wa dada yangu amehitimu kidato cha nne kwa matokeo yafuatayo;
CIV - 'D' HIST - 'C' GEO - 'C' KISW - 'B' ENGL - 'C' CHEM - 'C' BIO - 'B' B/MATH - 'D' na anapenda kusoma advance akaniomba nimshauri asomee nini,
Sasa wakuu ninyi mnashauri vipi?