Kusomea Sekondari (A-Level) nchini Uganda

asante ndg,ngoja nipambane,nimeshauriwa kuwa ada ya kule uganda ni nafuu ukilinganisha na tanzanian private schools
 
Hivi campus ya Kabaka's Lake ndo imepandishwa daraja nakuwa St Lawrence University?
 
asante wakuu,nimefurah kwa ushauri wenu.kuna watu wanasemda uyet vya uganda vinakuwa na utata kwa huku,au ni negative ideologies
Havina utata wowote mkuu.. ukimaliza kule unaleta cheti chako baraza wana kagua kama feki au laah... pia wana kuwekea matokeo yako katika mfumo wa kibongo.. ila cheti chako kinabaki vilevile tuu.. wao wana kupa barua ya kutambua kuwa cheti chako na matokeo yako ni halali... hizo ni porojo za asilimia kubwa ya watz kama zilivyo porojo kuwa elimu ya Uganda ni rahisi
 
Ndo ile uganda ambayo division 4 za kwetu zinapelekwa na kufaulu vizuri advance au nyingine wale ni vilaza huwezi kulinganisha kabisa mtoto wa uganda na tanzania na mfumo wao wa elimu upo corrupt haowezekani mtu na d zake tatu anaita principle anaenda uganda na ansoma bila shida yoyote
 
Wengi wao wakiwa huko wanajenga urafiki na watanzania wenzao ambacho si kibaya ila hawajichanganyi matokeo yake kizungu tewali siku ya mwisho. Inasikitisha sana mtu anakaa miaka minne mpaka sita kuzungumza kiingereza inakuwa shida.
Alafu utakuta wanajenga chuki na waganda... Waganda hivi waganda vile, wanajitenga na kutengeneza makundi ya kihuni na kusahau kilichowapeleka kule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…