I and myself
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 328
- 326
Kibuli ss ya kampala.. hii iliyo njia ya kwenda natete karibu na veez club.. acha hii njia ya natete ya lubaga road inayo pita kithende college.. au kibuli ile iliyo karibu na kabaka palace kule juu karibu na eagles netsmkuu, primary nimesoma masaka, kabla ya kwenda Kibuli for o'level.. Masaka SS wanasoma na kufaulu vizuri, lakini starehe pia hawana mfano.. Ballers wanaendekeza ngono kishenzi, na club ambiance hawakosi.. sema tuu Club Dorris imefulia, lakini nako pia walikua wana make headlines.. anyway, maybe wame change...
but still, the best schools are in Wakiso and Mukono..
Kibuli SS iliyo Kibuli Hill, Karibu na Kibuli Mosque.... Umepapata?Kibuli ss ya kampala.. hii iliyo njia ya kwenda natete karibu na veez club.. acha hii njia ya natete ya lubaga road inayo pita kithende college.. au kibuli ile iliyo karibu na kabaka palace kule juu karibu na eagles nets
Wewe unaongelea Lubiri SS.. Karibu na Old Kampala MosqueKibuli ss ya kampala.. hii iliyo njia ya kwenda natete karibu na veez club.. acha hii njia ya natete ya lubaga road inayo pita kithende college.. au kibuli ile iliyo karibu na kabaka palace kule juu karibu na eagles nets
Hiyo bugema adventist ni noma acha kabisa.. shule ya wasabato hiyo aaaah ukisoma hapo mwanzo mwisho wee co mchezo sasa wana chuo chao nacho ni balaaaa... Kabojja shule la kishua hilo.. kina cc tulio kuwa wafukuza mwenge scandinavia tulikuwa hatuwezi hapo... hizo shule zote zipo pouwa.. kampala mulunji sebo
Aaaah zile Lubili.. kibuli ilikuwa ina milikiwa na waislamu kama kawempeWewe unaongelea Lubiri SS.. Karibu na Old Kampala Mosque
Kibuli na Kawempe ni government schools...just they are Islamic founded.. Siunajua serikali ili taifisha shule nyingi sana.. zile kongwe..Aaaah zile Lubili.. kibuli ilikuwa ina milikiwa na waislamu kama kawempe
Ofcoz swala la club na hata stareh nyingne zpo sana ila mara nyingi wanafaid wanafunz wa day ila boarding ni pagum sana pia swala la shule za wakiso ni nzuri nyingi ila kwa majengo na zipo ambazo ni nzuri kwa masomo pia!mkuu, primary nimesoma masaka, kabla ya kwenda Kibuli for o'level.. Masaka SS wanasoma na kufaulu vizuri, lakini starehe pia hawana mfano.. Ballers wanaendekeza ngono kishenzi, na club ambiance hawakosi.. sema tuu Club Dorris imefulia, lakini nako pia walikua wana make headlines.. anyway, maybe wame change...
but still, the best schools are in Wakiso and Mukono..
Dah! hapo mmenikumbusha mambo mengi sana... hongereni sana kama mlimalza shule salama! make kuna wengine walishindwa kumaliza shule kwa kujiusisha na mambo yasiyo ya msingi...!Yani I have memories of Uganda that I will never forget.. Na zile nightmares za kuchoma dormitories.... watu usiku mko prep...and then the blazes...!!!!
St. Lawrence schools (Paris paris, cleamland, crown city, London college) ni shule za starehe zile... performance yao hua ni ya kawaida sana... labda kama wamebadilika shule zile kongwe ndo hatari Kings college Buddo na nyingine km hzo...Teh teh Mimi nimesoma uhuru mchanganyiko Kaboja ndio kitu gani ? St Lawrence zimeishia wapi ?? GENTAMYCINE
Besides akili za kizanaki au kinyarwanda nazitolea wapi mmasai mimi
Oh asante mkuu kwa ufafanuziSt. Lawrence schools (Paris paris, cleamland, crown city, London college) ni shule za starehe zile... performance yao hua ni ya kawaida sana... labda kama wamebadilika shule zile kongwe ndo hatari Kings college Buddo na nyingine km hzo...
Kweli wadogo zetu wanajisahau sana....Oya Mbona Umesahau Kumtajia Na Shule ZILIZOTUKUKA Alizosoma GENTAMYCINE Za Bugema Adventist Secondary School ( O - Level ) Kule Luweero 1996 - 1999 Kisha Kabojja High School ( Advance Level ) Hapo Kampala 2000 -2001? au Unazionea WIVU Hizo Shule? Uzuri Wa Hizo Shule Zote Mbili HUSOMI Kama Huna AKILI Za KIYAHUDI au KITUTSI au Za KIZANAKI / KIYAO Ambazo Ni KUBWA SANA. Nifah, Mussolin5, UncleBen, kadoda11 Na miss chagga Nyie Nanyi MMESOMA Wapi? Ila Nataka Nichukue FURSA Hii KUWAPAKA Nyie Vijana Wa Sasa Mnaosoma Nchini Uganda Hebu Acheni USELA " Nnya " Kwani Mnatutia AIBU Sisi Kaka Zenu TULIOACHA REKODI Zetu Huko UNEB. Watanzania Mnaosoma Uganda Sasa Kutwa Mnashinda VIJIWENI Hapo Maeneo Ya Sokoni OWINO Na Katika Ile Gesti / Loji KIPENZI Ya Watanzania Wote Ya SAMALIEN Iliyopo Nyuma Tu Ya Uwanja Wa Mpira Wa Nakivubo Huku Wengine Kutwa Mkishinda Pale WANDEGEYA Njia Ya Panda Ya Kwenda MAKERERE University Mkinywa Gongo La MAPAPAI Na NDIZI Ile Ya Kiganda. Badilikeni UPESI Na HARAKA Kwani Tambueni Kuwa WAZAZI Wenu Huku Bongo WANAJINYIMA Kwa AJILI Yenu Halafu MNAWAANGUSHA. Sasa Mnachoniudhi Wengi Wenu Mnasoma Huko Uganda Miaka Yote Hiyo Halafu Mkija Tanzania VIINGEREZA HAMJUI Sasa Kwanini Msingebaki Tu Msome Huku Tanzania KAYUMBA PRIMARY SCHOOL? Napenda Mno Mwanafunzi MTUNDU, MTUKUTU Na MLA BATA Zote Lakini LIKIJA Suala La Masomo AKIFELI Sana Basi Ana B au B+. Mimi Nakumbuka Nilikuwa Nikienda Ama Mziki Enzi Hizo Club Silk au Angenoir au Nikienda Kubai " PAPUCHI " Pale Maeneo Ya Central Bank Of Kenya Nilikuwa Nabeba Notes Zangu MFUKONI Na Nikiwa Nacheza Mziki Mule Ukumbini Baadae " Najiiba " Kidogo Natoka Nje Natafuta Mahala NASOMA Kisha Narudi Ndani Kucheza Mziki Na Hata Nikiwa Nimeopoa Demu La KIGANDA Nikiwa Tu Chumbani Nikishamaliza " Kubatua " Angalau Goli Moko Namwacha Yeye ANAUSIKILIZIA " Mkuyenge " Wangu Huku Mimi Nikisoma Na Maisha Yanaenda. Nakumbuka MASELA Wengi Mno Walikuwa Wakiniiga Kwenda Town Lakini Nilichowafanyia Katika Matokeo Yangu Ya FORM FOUR NA SIX ( Uganda Wanaita SENIOR FOUR Na SENIOR SIX ) UNEB Na Wao Wanajua. Ukiwa MTUNDU Basi HAKIKISHA Pia Una AKILI ZILIZOTUKUKA. Ujumbe Huu Uwafikie Vijana Wote Wa Kitanzania Mnaosoma Huko Nchini Uganda.
Hata ukimpeleka shule za Masaka pia anaweza soma lakin hakikisha unampeleka shule ambayo una usimamiz mzuri km Masaka Sec, Blessed sacrament, Bukalasa sem, St. Henry's kitovu na nyingine km hzo hzo ni shule ambazo ukimpeleka mtoto kushinda ni uhakika na akirud Tanzania anaendelea na chuo bila kujali matokeo ya O level lakn km ukimpeleka Ug hakikisha anasomea shule utakayompeleka kwel watoto kule wanaharibika km alivyosema mkuu hapo!
Hiyo kwel.. wana prefer 1 division...Shule ulizozitaje mwanafunzi akiyefeli hawezi kupata kama hiyo St Henry Kitovu wanachukua top cream tu
asante wakuu,nimefurah kwa ushauri wenu.kuna watu wanasemda uyet vya uganda vinakuwa na utata kwa huku,au ni negative ideologies
Kama tunafualisha wasio jua kusoma na kuandika kwenda kidato cha kwanza na watu wa chuo tena kwa ngazi ya masters kutoa uchi au pesa kwa ajili tu ya kuandaliwa Thesis ,sitoshangaa Uganda wakiongoza kwa elimuHakuna Kitu Kama Hicho ASIKUDANGANYE Mtu ELIMU Ya Uganda Ni Bora Mara 100 Kuliko Ya Tanzania Ila Kwa Sasa Nasi Tanzania Ndiyo Tunaamka. Na Hata HAO Wanaoibeza Ni WIVU TU ULIOTUKUKA Unawasumbua. Elimu Yao Iko Cheap Lakini Pia Ina UBORA MKUBWA Huku Walimu Wao Karibia 99.999% Wakiwa Very Committed. Anayemaliza Form ( Senior ) Four Ya Uganda Anaweza Kushindana Na Mwanafunzi Wa CBE au IFM Kwa UELEWA, MAARIFA Na AKILI Na Anaweza Pia AKAWAZIDI Vile Vile Huku Mwanafunzi Wa Form ( Senior ) Six Ya Uganda Anaweza Kushindana Na Mwanafunzi Wa Mwaka Wa Pili Wa UDSM Isipokuwa Tu Hawezi Kushindana Na Mwanafunzi Wa SAUT! Nifah, UncleBen, Mussolin5 Na MAPOPOMA Wengine Mpo?
Kibuli ss ya kampala.. hii iliyo njia ya kwenda natete karibu na veez club.. acha hii njia ya natete ya lubaga road inayo pita kithende college.. au kibuli ile iliyo karibu na kabaka palace kule juu karibu na eagles nets