Kusomea Medicine kuna ajira?

Kusomea Medicine kuna ajira?

Dah! Africa tunaangalia kama ajira ipo kwanza. Maisha yamekaza. Usishangae ndio maana hatuna passion na ajira zetu. Ila wengi wenye akili kama ya muanzisha thread huwa hawawezi kufanya vizuri darasani kwenye profession husika.
 
Dogo kama unaenda kusoma we kasome tu..ajira zipo ila kwa konekisheni kama huna konekishen msoto ni ule ule kitaa kwa kila graduate.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom