Kusoma text za mpenzi wangu

Kusoma text za mpenzi wangu

sina demu

Senior Member
Joined
Jul 25, 2019
Posts
165
Reaction score
99
Habarini wadau natumaini muwazima

Niende mojakwamoja kwenye mada

Mimi nikijana mwenye umri wamiaka 27 nina mpenzi wangu ambae tumekubaliana kuoana lakini haniamini kua nampenda anahisi kuwa nina mtu mwingine tumekuwa na ugomvi mienzi miwili iliyopita kutokana na kutokuaminiana .

Ila tumefikia muafaka wakilammoja ashike simuyamwenzake lakini napia amesema kutokana namimi ninasafiri kilamara haitakua suluhisho.

Ila nimekuja kwenu kuomba kama kuna anayejua application yasimu ambayo inaweza kutoa tarifa za SMS na call kutoka kwamtumwingine naweza anisaidie ili tuendelee kujenga mahusiano yetu sababu ndionjia rahisi yakuaminiana

SHUKRANI
 
Demu anakuendeshaje kiasi hicho??? Kama hakuamini achape lapaa yani ujitegeshee app ya kujidukuaa ili umridhishe yeye..?? Vip yeye au wew ukiwa unatumia line na simu nyingine???

Uaminifu hauji kwa kuchungana kama mbuzi ila kwa kujitambua na kuheshimu mahusiano yenu
 
Hapo wewe ndio hauaminiki, kwanini umpeleleze mwenzako???
 
Kuandika tu bado hujamaliza hiyo kozi,unataka kurukia kozi zingine
 
Mtu mwenyewe unajiita sina demu unadhani huyo demu wako atakuamini hapo?
 
Hamna mkuu yani nimtu anae nilalamikia sana mpaka mdamwingine
 
Aaaih watu mnapenda kujiondolea furaha za maisha
 
Back
Top Bottom