Habari wadau!
Mimi ni mwanafunzi ambaye mwaka huu nilitarajiwa kuwa chuo mwaka wa kwanza TEKU ila kwa hali ilivyokuwa kusoma basi.
Mikopo 0 basi hata hali ya uchumi kwa wazazi basi iwe nzur but nimbovu kabisa hivo kuanzia sasa nimeamua kusubiri ajira nac kusoma tena labda miaka 4 mbele.
Kama una ushauri ntaupokea ahsanteni.