Marwa_J_Merengo
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 4,510
- 6,893
Usijitetee brother sikuzungumzii weweMkiwa wawili mnazungumza kuhusu nini!!?
Wewe unazungumza habari za ujasiriamali ambazo hana ujuzi nazo... unategemea nini?
Jifunze kuzungumza na watu kwa kadiri ya ufahamu wao, jinsia zao, elimu zao, na muktadha wa mazingira.
Ni kama sijakusoma kwahiyo na wewe umekuwa mjinga baada ya kusoma sanaAkili nyingi hupunguza maarifa.
Hiki kitu nimekiona hata kwangu, jinsi nilivyozidi kusoma ndivyo nilivyopunguza uwezo wa kufikiri mambo ya kawaida.
Sawa.Usijitetee brother sikuzungumzii wewe
Sijawa mjinga, mambo madogo kidogo yananipiga chenga, hii inatokaana na ubongo kufikiria mambo makubwa zaidi ya uhalisia, ndivyo jinsi elimu yetu inavyotujenga, yaani haituelekezi kutatua matatizo yanayotuzunguka katika uhalisia wake, kwa hiyo unajikuta ukipoteza uwezo wa kudeal na mambo ya kawaida tu.Ni kama sijakusoma kwahiyo na wewe umekuwa mjinga baada ya kusoma sana
kweli inawezekana maana kwa kiwango cha ujinga nilichomkuta nacho sio bure yaani anaongea professorial rubbishesUnaweza ukamlaumu kumbe ndugu wamefanya yao .
Haya mambo yapo sio kila ndugu anapenda wewe ufanikiwe.
Kwa hiyo na we we sasa hivi unawaza issue za global worming and population growth onlySijawa mjinga, mambo madogo kidogo yananipiga chenga, hii inatokaana na ubongo kufikiria mambo makubwa zaidi ya uhalisia, ndivyo jinsi elimu yetu inavyotujenga, yaani haituelekezi kutatua matatizo yanayotuzunguka katika uhalisia wake, kwa hiyo unajikuta ukipoteza uwezo wa kudeal na mambo ya kawaida tu.
Acha tu mkuu, elimu nzuri tu ila usipoweza jiongeza, wafa njaaKwa hiyo na we we sasa hivi unawaza issue za global worming and population growth only
Kwahyo mkuu kule mtwara ilikuwa unanichora tu ukaamua kuja kunianika JF.wanabodi,
Leo nimemtembelea mshikaji wangu mmoja huku mikoa ya kusini.Kiukweli huyu jamaa tunafahamiana sana toka utotoni na nilikuwa nikimkubali sana jinsi alivyokuwa na uwezo mzuri wa kufikiri enzi hizo tuko o-level
Sasa kilichonishangaza Leo ni kama mtu yule niliyemfahamu miaka hiyo si huyu ninayeongea nae sasa.
Yaani kiukweli uwezo wake wa kufikiri kuhusu maisha uneshuka sana .Yani kila nikijaribu kumshirikisha mawazo yangu kuhusu hizi mishe zetu za kusaka hela naona yaani kama hana wazo la kunisogeza yaani kabadilika sana kawa mweupe pee kichwani licha ya kuwa sasa ana MASTERS tens toka chuo kinachoheshimika sana hapa bongoland
Kiufupi ni kwamba jamaa kaongezeka kielimu lakini kazidi kuwa mjinga
Sasa ndo najiuliza hivi kuna ukweli kuwa mwanaume anavyozidi kusoma zaidi ndivyo anavyozidi kuwa mjinga
Labda tu nikueleze ukweli kiwango changu cha ujanja kiko katika hali ambayo naweza kisema si ya kutiliwa shakaMarwa_J_Merengo hebu kwanza tuelezee wewe ujanja wako ni upi hasa wa kumshinda huyo jamaa mwenye Master
Maana umetokea mkoa wa mara ukaenda mikoa ya kusini ukawakuta wana desturi zao na maisha wanayaweza,
ulitaka awe mtu wa Fiesta kurap rap majukwaani?ulitaka anunue Bajaj awe mpiga Uber Darawapige ng'ombe Mwibara apeleke KenyaLabda nmalizie tu kuwa hii dunia Mungu kamuumba kila binadamu na maisha yake, kufanya mishe mishe si kila mtu anapenda kujiweka katika misukosuko ya Polisi au Mahakama mwache apige kazi apate mlp wake wa kila siku
Labda tu nikueleze ukweli kiwango changu cha ujanja kiko katika hali ambayo naweza kisema si ya kutiliwa shaka
Pia usiwe na mazoea ya kukalili kuwa kila Marwa anaishi mkoa wa Mara .Kuna wakina Marwa wengi tu wazariwa wa Dar,Arusha,Nairobi na hata US
Alafu isitoshe watu wa Mara hatuna historia ya kuwa wajinga historia inaonesha hivyo ukitaka kuprove angalia rais wa kwanza wa tz katoka huku,MTU wa kwanza kuwazidi nguvu watu wasiojulikana katoka huku na hata hapa dar tuna historia ya kushika nyazifa kubwa kubwa
Kiufupi watu wa Mara tuna maujanja ya kuishi uraiani,jeshini,vitani na hata jela
Hivi empty na negative kipi bora mama wa kusiniKama hapa ndio umeonesha ulivyo empty kabisa
Labda tu nikueleze ukweli kiwango changu cha ujanja kiko katika hali ambayo naweza kisema si ya kutiliwa shaka
Pia usiwe na mazoea ya kukalili kuwa kila Marwa anaishi mkoa wa Mara .Kuna wakina Marwa wengi tu wazariwa wa Dar,Arusha,Nairobi na hata US
Alafu isitoshe watu wa Mara hatuna historia ya kuwa wajinga historia inaonesha hivyo ukitaka kuprove angalia rais wa kwanza wa tz katoka huku,MTU wa kwanza kuwazidi nguvu watu wasiojulikana katoka huku na hata hapa dar tuna historia ya kushika nyazifa kubwa kubwa
Kiufupi watu wa Mara tuna maujanja ya kuishi uraiani,jeshini,vitani na hata jela