Ukiwa na 3.4 vipi?
niliambiwa kwa G.P.A 3.3 ni lazima uweumefanya kazi kwa muda usiopungua miaka miwili kwenye coz unayotaka kuchukulia masters. But nashukuru kwa maelekezo!
Siku hizi ada yako tu kama udsm wanaosoma masters wamepungua ada iko juuNadhani masters nyingi ni kuanzia lower second but it depend na competition kwenye hio faculty
Usikariri mkuu zipo zenye two decimal placesHamna GPA ya 2.75! Kwenye cheti
Ila kuna GPA ya 2.7.
Gpa ina one decimal place na inkuwa trancated