Kusoma IT ukiwa umefeli Fizikia

Kusoma IT ukiwa umefeli Fizikia

Ethan hunt

Member
Joined
Feb 6, 2021
Posts
20
Reaction score
8
Salam,

Je, naweza kusoma IT nimefeli Fizikia tu kama naweza ni kozi gani nzuri chuo bora cha binafsi au serikali ila ada iwe nafuu napendelea mkoa wa Dar.

Nitashukuru kwa msaada
 
Unataka kusoma certificate, diploma, bachelor's degree au nini?

Unamatokeo ya ya ngazi gani ? Kwenye masomo mengine ya sayansi unamatokeo gani?

Ukijibu hayo maswali wahusika wanaweza kukusaidia.
 
Ni simame upande wa huyu kukazia utoe ni level gan ya elimu uliyonayo.
 
Nataka kusoma certificate na diploma nimemaliza kidato cha 4 nimefaualu kemia D biology C math D English C na mengine nimefaulu kasoro physics F
 
certificate unasoma...
 
Salam,

Je, naweza kusoma IT nimefeli Fizikia tu kama naweza ni kozi gani nzuri chuo bora cha binafsi au serikali ila ada iwe nafuu napendelea mkoa wa Dar.

Nitashukuru kwa msaada
Pole sana na huu mfumo wa elimu ya kibongo ya mpaka upasi masomo fulani ndio usomee kitu unachokipenda
Wewe kama unaona unapenda kusomea IT, soma tu popote, Unaweza kuanzia hata VETA
 
Sasa wewe umeanzaje kufeli wakati wenzio awamu hii wanafaulu sana??
 
IT kuisomea darasani ni ujinga, jifunze mwenyewe
 
Nataka kusoma certificate na diploma nimemaliza kidato cha 4 nimefaualu kemia D biology C math D English C na mengine nimefaulu kasoro physics F
Kama ni certificate hata ungekua na F ya hesabu ungesoma tu.

Kwa kifupi inawezekana.
 
Back
Top Bottom