Ryzen JF-Expert Member Joined Dec 6, 2012 Posts 7,315 Reaction score 8,748 Jan 24, 2021 #1 Wakuu habari, hivi inawezekana kusoma Dip/cert ya sheria part time au kama wanavyofanya Open University. Kama inawezekana Ada yake sh ngapi na vyuo vipi vinafanya hivyo.
Wakuu habari, hivi inawezekana kusoma Dip/cert ya sheria part time au kama wanavyofanya Open University. Kama inawezekana Ada yake sh ngapi na vyuo vipi vinafanya hivyo.