Cleverman324
JF-Expert Member
- Nov 17, 2018
- 413
- 668
Wasalaam wadau..nimezunguka sana kusini mwa dar hasa mbagala na vitongoji vyake, vikindu mpaka kisemvule...kwa kweli Kuna watu wengine mno na maisha yanaenda mchakamchaka Ila kwenye masuala ya huduma mbalimbali wapo very poor.kifupi hakuna jambo lolote utakalofanya lenye kuhusisha mtu mwengine likaenda smart Hawa watu sijui ni tofauti na watu wa maeneo mengine??.
Nikijikita kwenye biashara ndio usiseme wapo zero kabisa Wana mazoea sana...hawathamini Ile thamaani ya wanachokifanya..huduma za chakula ni sifuri kabisa Yani mtu ukitaka Kuna chakula Cha tofauti na nyumbani kwako lazma ushike uelekeo wa kigamboni.huwezi PATA sehemu nzuri ukala ama uka chill na familia.huduma za usafiri wapo local sana hata bolt hamna.hata huduma za kifedha ni shida..nilikuwa bank ya crd** mjini nimehudimiwa vizuri tu Ila tawi lao LA kule ni laana tupu...nini kifanyike kuwabadilisha Hawa watu namba ya kufikiri????
Unategemea Nini kutoka kwa wamakonde
Kuanzia mbagala mkuu kushuka mpaka maeneo hayo ni kichefchef tuMkuu vikindu na kisevule ni mkoa wa pwani sio Dar mpaka wa Dar na pwani upo pale Kongowe
Wadengeleko wanajiona wanajua alafu ni wapuuz sana..poooor pooorUmewaacha wapi wadengereko.
Wadengeleko wanajiona wanajua alafu ni wapuuz sana..poooor pooor
Yes kaka hapa nimebaki na watoto wife kasafiri..nimezurura na watoto kutafta sehemu tule.nimechoka hoi madogo wamelala kwa njaa.hapa nipo kijichi nafakamia chips.pumbavuKule kuna masikini wa akili na mali,sema ni sehemu nzuri sana ya kuvuna utajiri kwasababu ya population.
Vitu classic usitegemee kuvipata huko.
Wanampenda harmonize kinoma basi wakishaskiliza nyimbo zake huwaambii kitu[emoji28][emoji28] wanajiita wadengestan,bila kusahau wamatumbi.
Biashara huku labda ya local staffs.tena wabaguzi kikuda.ukiwwka biashara ya kuelewwka labda mtoto umfanye zezetaKule kuna masikini wa akili na mali,sema ni sehemu nzuri sana ya kuvuna utajiri kwasababu ya population.
Vitu classic usitegemee kuvipata huko.
UchawiUnategemea Nini kutoka kwa wamakonde
Yes kaka hapa nimebaki na watoto wife kasafiri..nimezurura na watoto kutafta sehemu tule.nimechoka hoi madogo wamelala kwa njaa.hapa nipo kijichi nafakamia chips.pumbavu
Nasikia huko eti Bei ya ngono ni rahisi kuliko Lita moja ya petrol, sijui km ni kweli!!
Nasikia huko eti Bei ya ngono ni rahisi kuliko Lita moja ya petrol, sijui km ni kweacha tu.ni laana
Wanampenda harmonize kinoma basi wakishaskiliza nyimbo zake huwaambii kitu
Biashara huku labda ya local staffs.tena wabaguzi kikuda.ukiwwka biashara ya kuelewwka labda mtoto umfanye zezeta