Unaongelea uhuru gani au ndio tayari ushavuta migo?Tanganyika ikija kupata uhuru tena tuweke nembo ya jani katikati ili mustakabal wa taifa letu jipya lidumu milele katika nyanja tofauti tofauti
mkuu ushapuliza vingapi mpaka sasa ?Ni mungu ndo mgunduzi na kila siku tunamshukuru.
Bangi inakuzuia vipi kuishi life poa?Kusinge kua na bangi life lingekua poah sana
Kwan huon vijan wavut bang asilimia kubwa hawana muelekeo wowt wa maishaBangi inakuzuia vipi kuishi life poa?
Hahah hata matajiri wanavuta vzr tu depends na nani anakuzunguka basi! Ndiomaana unaona vijana pekee yao!Kwan huon vijan wavut bang asilimia kubwa hawana muelekeo wowt wa maisha
Ukipata kasichana kako kamoja jioni usingizi muruaAliyetengeneza konyagi mojakwa moja peponi
Ila ladha mbaya😄 kama unakunywa sumu vileUkipata kasichana kako kamoja jioni usingizi murua
Mood yako tuIla ladha mbaya😄 kama unakunywa sumu vile