Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,161
- 2,668
Kuna siku nilipanda daladala toka Tegeta mpaka Ubungo na bahati mbaya sikupata bahati ya kupata siti,nikatafuta daladala ya kwenda mbagala nako nilisimama hadi Buguruni, asubuhi hiyo! Baada ya mishemishe pale Buguruni,nikachukua gari hadi Mbagala nilisimama,baadae nikachukua daladala kuelekea Mnazi mmoja nako nilisimama vilevile aloo miguu iliniuma vibaya mno yaani, baada ya mishemishe hapo mjini,nikachukua daladala ya Mwenge toka pale Mnazi mmoja nilisimama hadi Mwenge na nikaunganisha na za Tegeta kwa kusimama tena, hahhahaha! Balaa hakuna kitu kibaya kama kusimama kwenye daladala bila hata ya kupata siti njia nzima na nilipata siti tu toka pale Tegeta mpaka pale Tegeta Kibaoni kwa siku hiyo. Noomaaa!! Sitasahauu!!!
Kusimama noma, siku moja nimepanda gari ya gongo la mboto toka posta nimesimama mblele yangu kuna mdada mzuri nae kasimama ****** yake ameyaelekeza katika nyeti zangu.Wacha anitingishie gali ikijigonga kwenye mashimo ananitingishia kwa fujooo.Kilichotokea baada ya hapo siri yangu
Ujanja ni kuivizia inayotoka Mbagala kwenda posta kituo cha mwisho kabla ya posta...hapo wakati wenzio wanagombania pale posta we unawashangaa tu!Wai..mi nshazoea kusimama (yani kama kukatiwa umeme)...siku nikipata daladala nikakaa ndo nashangaa..!Hivi seriously, hakuna sehemu karibu na posta ninaweza kupanda magari ya mbagala bila kugombania/kusimama?
nilishawahi kusimama kwenye treni toka dar hadi kigoma.kuna siku nilipanda daladala toka tegeta mpaka ubungo na bahati mbaya sikupata bahati ya kupata siti,nikatafuta daladala ya kwenda mbagala nako nilisimama hadi buguruni, asubuhi hiyo! Baada ya mishemishe pale buguruni,nikachukua gari hadi mbagala nilisimama,baadae nikachukua daladala kuelekea mnazi mmoja nako nilisimama vilevile aloo miguu iliniuma vibaya mno yaani, baada ya mishemishe hapo mjini,nikachukua daladala ya mwenge toka pale mnazi mmoja nilisimama hadi mwenge na nikaunganisha na za tegeta kwa kusimama tena, hahhahaha! Balaa hakuna kitu kibaya kama kusimama kwenye daladala bila hata ya kupata siti njia nzima na nilipata siti tu toka pale tegeta mpaka pale tegeta kibaoni kwa siku hiyo. Noomaaa!! Sitasahauu!!!
Duh pole ndugu yangu, lkn uliposimama wewe ni palepale Tegeta kibaoni, mimi hiyo ni safari ya siku kwenye foleni maeneo tofauti ya Dar!!Hiyo story ikaendelea kwangu, nikashuka Tegeta Kibaoni kununua umeme naponikakuta foleni ndefu ikabidi nisimame kwa mda mrefu kabla ya kupata huduma nikagundua hela haitoshi nikaenda kwenye ATM napo nikakuta foleni nikasimama tena, nikarudi kwenye LUKU nikaanza foleni upya ikabidi nikasimama
Hapo inategemea unapandia wapi na route gani, kwa mfano ukiwa pale posta kuna madaladala yanayoenda Kivukoni hapo unaweza ukapata siti bila kugombania na ukaendelea na safari kwenda kwingineko,kasheshe ya hiyo route unalipia nauli mara mbili na pia unazunguka tena ambayo ni kupoteza muda pale Kivukoni!!Wai..mi nshazoea kusimama (yani kama kukatiwa umeme)...siku nikipata daladala nikakaa ndo nashangaa..!Hivi seriously, hakuna sehemu karibu na posta ninaweza kupanda magari ya mbagala bila kugombania/kusimama?
Hahahahaa! Siku ukibanwa na haja pana ndugu yangu staili ya kusimama huwa inabadilika hahahahaa! Hakuna kitu kibaya pembeni kuna mijimama amejaa alaf unasukumwa na unatumia mguu mmoja mwingine umekaa vibaya,hapo ukitoka kwenye daladala mguu unakuwa hauna nguvu ya kustahimili!!!halafu usimame na foleni za jiji hili utajuta.
Wa Mbagala ndo walikuwa wa kwanza kabisa kugombania kwenye daladala jiji hili la Dar!Nini kusimama, watu wanagombea ili wakasimame... fika pale post mpya saa za jioni uangalie magari ya Mbagala au pale Ubungo uone valangati la magari ta Tegeta... watanzania tumeshazoea vitu hivi, tunaona kawaida na siku zinakwenda
Wa Mbagala ndo walikuwa wa kwanza kabisa kugombania kwenye daladala jiji hili la Dar!Nini kusimama, watu wanagombea ili wakasimame... fika pale post mpya saa za jioni uangalie magari ya Mbagala au pale Ubungo uone valangati la magari ta Tegeta... watanzania tumeshazoea vitu hivi, tunaona kawaida na siku zinakwenda
dah! pole sana. ilikuwa jumatatu?Kuna siku nilipanda daladala toka Tegeta mpaka Ubungo na bahati mbaya sikupata bahati ya kupata siti,nikatafuta daladala ya kwenda mbagala nako nilisimama hadi Buguruni, asubuhi hiyo! Baada ya mishemishe pale Buguruni,nikachukua gari hadi Mbagala nilisimama,baadae nikachukua daladala kuelekea Mnazi mmoja nako nilisimama vilevile aloo miguu iliniuma vibaya mno yaani, baada ya mishemishe hapo mjini,nikachukua daladala ya Mwenge toka pale Mnazi mmoja nilisimama hadi Mwenge na nikaunganisha na za Tegeta kwa kusimama tena, hahhahaha! Balaa hakuna kitu kibaya kama kusimama kwenye daladala bila hata ya kupata siti njia nzima na nilipata siti tu toka pale Tegeta mpaka pale Tegeta Kibaoni kwa siku hiyo. Noomaaa!! Sitasahauu!!!
Kusimama noma, siku moja nimepanda gari ya gongo la mboto toka posta nimesimama mblele yangu kuna mdada mzuri nae kasimama ****** yake ameyaelekeza katika nyeti zangu.Wacha anitingishie gali ikijigonga kwenye mashimo ananitingishia kwa fujooo.Kilichotokea baada ya hapo siri yangu
Yah ilikuwa Jumatatu, balaa!!dah! pole sana. ilikuwa jumatatu?
Wapo watu wa aina hiyo,nshawashuhudia!Iliyokutokea sio kwako tu. Hata hivyo kuna watu hawapandi daladala hadi aone limejaa ili asimame na awe karibu na kidosho - atasikia raaaahaaaaa!!