Yenga08
JF-Expert Member
- Jul 7, 2019
- 458
- 894
Habari zenu wana jamvi, ni matumaini yangu kuwa muwazima na wenye matatizo ya hapa na pale polen sana, naamin Mungu ni mwema penye tatizo ataweka wepesi.
Niende kwenye maada moja kwa moja, hivi sas ni kipindi cha Mwenge kupita Vijijini, Wilayani na Mikoani kwa ajili ya kufungua na kukagua miradi mbalimbali ya serikali.
Kitu cha kushangaza kabisa ambacho kilifanyika miaka ya tisini leo hii nimekutana nacho Mkoa wa Shinyanga wilaya ya Shinyanga Vijijini, ukijiuliza tu wala hupati jibu sahihi kama ni amri ya Watawala au sheria ya Nchi. Iweje raia walazimishwe kwenda kupokea Mwenge na kusimama kazi zote zinazofanyika eneo husika au kwa kuwa ni kijijini.
Kwa utaratibu huu siyo sawa kuna mambo yanafanyika bila kuwaza kwa kina, kuna watu wanatumia ghalama kubwa sana kwenye kazi na ukimsimamisha tu hata masaa kadhaa tayari unakuwa umemtia hasara.
Niwatakie usiku mwema na Mungu awabariki sana.