Kushuka kwa wasanii

K D

Member
Joined
Mar 11, 2018
Posts
12
Reaction score
5
Hivi karibuni nimejaribu kufikiria nikaona kumekua na upungufu wa ma sponsor kwenye masuala ya entertainment haswa muziki hivi nini inaweza kuwa sababu.

Je wameona mziki haulipi au ni nini?
 
Hivi karibuni nimejaribu kufikiria nikaona kumekua na upungufu wa ma sponsor kwenye masuala ya entertainment haswa muziki hivi nini inaweza kuwa sababu.

Je wameona mziki haulipi au ni nini?
Wachunguzi wa masuala ya muziki na filamu wanasema ni kutokana na wasanii wenyewe kujihusisha na chama la mboga mboga na baada ya kutumika wametupwa kama kondom hivyo sponsa hawezi kudhamini kitu ambacho hakiuziki na hakina faida
 
Reactions: K D
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…