huwezi stua gari ya automatik transmission caz gear engegement tofauti na manual,at trans inakaribu clatch plate zaidi ya moja alafu msaada mkubwa wa hiz plate ni haidrolic inayohitaji izungushwe na mzunguko mkubwa wa engine then ndani ya hiz geabox kuna valve ambazo kazi yake ni kurususu haidrolic kupita ambazo ufungukaji wake unahitaji control box. control box hiyo ndio ianyoruhusu gari kubadili gear na kukokotoa speed katika over drive vitu hivi vyote vinahitaji engine iliyo silence ili ihesabu mapigo ya gari kwa kutumia sensor za TPS, Mass air flow sensor , vacuum sensor, tempurature sensor na lakini sababu kuu zaidi inayopelekea gari ya at usiweze kustua ni mfumo wa hydrolic hii ndio drive ya gari . Kumbuka unaposukuma gari ya auto ukiwa umeweka d geabox itakuwa inazunguka ndani yenyewe huku top shaft hai haija oana na converter dah! sema mambo yenyewe ya kizungu, mimi haya magari ndio mwenyewe kabisaa.
mkuu hizo zingine ni mbwembwe tuu sijui TPS valve control box kwenye kustua Gari hizo ni chachandu kwenye chipsi.
main point yetu kubwa ni kuwa tutawezaje pata mzunguko wa flywheel?? hizo sensor ulizozitaja wewe hata zisipokuwepo Gari lazima itawaka tuu.kikubwa hapa ni crank shaft na camshaft sensor tu zipitiwe na mzunguko ili ziweze toa signal.
kabla hatujafika mbali kama wewe kweli ni mtaalam soon utahamia upande wangu.
ukiwa unaendesha Gari ukaizima na kuiweka OFF huku gear bado ikiwa kwenye D 2 or L nagari ikawa bado inaendelea kutembea engine itasimama au itaendelea kuzunguka??.mtaalam naomba ujibu hilo swali ndipo kwenye msingi na mzizi wakustua Gari hapo.
harafu hayo ya gear sijui huendeshwa na vavle na hydrolic ni mbwembwe tuu sisi tunataka kupata mzunguko wa flywheel tuu ili Gari iweze kuwaka.
converter unapoliingiza kwenye gearbox huwa linaingia Mara 2 ile ya pili ya mwisho huwa ni kwaajili ya pump ya hydrolic hivyo ukizungusha tuu engine pump ya hydrolic nayo inazunguka pia.na kinachofanya Gari iweze kuondoka ukiweka gear ni kitendo cha kuruhusu hydrolic iingie kwenye diaphram na kuoparete clutch za gear husika na Gari inatembea.
mfano chukua Gari iendeshe mpaka ifike speed 80 or 60 harafu izime nauiache itembwe mpaka km I drop na kufika mpaka kwenye 40 or 20 then weka switch on uone kama Gari itawaka au haita waka ikiwaka ndio ujiulize maswali kwanini imewaka?? wakati ni automatic??
lengo LA kuiweka switch on ikiwa katika speed ndogo nikuepuka uharibifu kwenye gearbox maana speed hiyo ya 20 40 ni gear namba 1 or 2 .
MAGARI ambayo tulijaribu nayo wakati tunacheza kamali ya ubishi ni verosa ,gx100 ,Suzuki,Prado ,BMW, RAV 4,hilux D4D.
KWA kuwa MAGARI mnayo kajaribuni mkipata majibu njooni tena tuendeleze maada yetu.
USISEME TUU HAIWEZEKANI KWAJILI UMEAMBIWA HAIWEZEKANI JIULIZE KWA NN HAIWEZEKANI BAADA YA KUAMBIWA HAIWEZEKANI.