Newbies
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 1,477
- 2,148
KUSHINDA KWA WIMBO WA MASTER KG JERUSALEMA KUNAFUNZO GANI KWA WASANII WETU?
Wimbo huu wa kidini/ Gospel ulioimba kwa lugha ya kizulu yenye wazungumzaji milioni 9 + kwa mujibu wa sensa ya mwaka 2006 umekuwa maarufu sana duniani na hiyo Jana umeshinda kama wimbo wa mwaka/ the song of the year
Funzo ambalo wasanii wetu wanapaswa kupata ni kuwa lugha au aina ya muziki sio sio kikwazo cha kazi yako kuwa ya kiulimwengu!
Wasanii tambulisheni zaidi aina yetu ya muziki na kuacha vionjo vya muziki wa sehemu nyingine
Kwa taarifa yenu lugha ya kiswahili inawazungumzaji zaidi ya milioni 200 hivyo ubora wa kazi hautegemei sana lugha ya kingereza utakayotumia Bali ufundi na mvuto uliondani ya wimbo
Mwisho, wakati wasanii tukitafuta maslahi yetu nivyema tujikite katika kuutambulisha muziki wetu na lugha yetu
Tujiburudishe kidogo na jerusalema😊
O kuitwa mos, O kuitwa mos
O wanitwa mos, O wanitwa mos
Aliitwa mos
-nanitwa mos
Yerusalemu ni nyumba yangu
Jerusalema ikhaya lami
Niokoe
Ngilondoloze
Nenda na mimi
Uhambe nami
Usiniache hapa
Zungangishiyi lana
Yerusalemu ni nyumba yangu
Jerusalema ikhaya lami
Niokoe
Ngilondoloze
Nenda na mimi
Uhambe nami
Usiniache hapa
Zungangishiyi lana
Fursa yangu haipo hapa
Ndawo yami ayikho lana
Ufalme wangu hauko hapa
Mbuso wami awukho lana
Niokoe
Ngilondoloze
Nenda pamoja nami
Zuhambe nami
Nafasi yangu haipo hapa
Ndawo yami ayikho lana
Ufalme wangu hauko hapa
Mbuso wami awukho lana
Niokoe
Ngilondoloze
Nenda pamoja nami
Zuhambe nami
Okoa hifadhi ila akiba
Ngilondoloze ngilondoloze ngilondoloze
Usiniache hapa
Zungangishiyi lana
Okoa hifadhi ila akiba
Ngilondoloze ngilondoloze ngilondoloze
Usiniache hapa
Zungangishiyi lana
Nafasi yangu haipo hapa
Ndawo yami ayikho lana
Ufalme wangu hauko hapa
Mbuso wami awukho lana
Niokoe
Ngilondoloze
Nenda pamoja nami
Zuhambe nami
Okoa hifadhi ila akiba
Ngilondoloze ngilondoloze ngilondoloze
Usiniache hapa
Zungangishiyi lana
Okoa hifadhi ila akiba
Ngilondoloze ngilondoloze ngilondoloze
Usiniache hapa
Zungangishiyi lana
(Tafsiri hii sio rasmi)
masshele