Kushinda kwa wimbo wa Master KG, Jerusalema kuna funzo gani kwa wasanii wetu?

MASSHELE

JF-Expert Member
Jul 13, 2018
1,389
1,963
KUSHINDA KWA WIMBO WA MASTER KG JERUSALEMA KUNAFUNZO GANI KWA WASANII WETU?

Wimbo huu wa kidini/ Gospel ulioimba kwa lugha ya kizulu yenye wazungumzaji milioni 9 + kwa mujibu wa sensa ya mwaka 2006 umekuwa maarufu sana duniani na hiyo Jana umeshinda kama wimbo wa mwaka/ the song of the year

Funzo ambalo wasanii wetu wanapaswa kupata ni kuwa lugha au aina ya muziki sio sio kikwazo cha kazi yako kuwa ya kiulimwengu!

Wasanii tambulisheni zaidi aina yetu ya muziki na kuacha vionjo vya muziki wa sehemu nyingine

Kwa taarifa yenu lugha ya kiswahili inawazungumzaji zaidi ya milioni 200 hivyo ubora wa kazi hautegemei sana lugha ya kingereza utakayotumia Bali ufundi na mvuto uliondani ya wimbo

Mwisho, wakati wasanii tukitafuta maslahi yetu nivyema tujikite katika kuutambulisha muziki wetu na lugha yetu

Tujiburudishe kidogo na jerusalema😊

O kuitwa mos, O kuitwa mos
O wanitwa mos, O wanitwa mos

Aliitwa mos
-nanitwa mos
Yerusalemu ni nyumba yangu

Jerusalema ikhaya lami

Niokoe
Ngilondoloze

Nenda na mimi
Uhambe nami

Usiniache hapa
Zungangishiyi lana

Yerusalemu ni nyumba yangu

Jerusalema ikhaya lami

Niokoe
Ngilondoloze

Nenda na mimi
Uhambe nami

Usiniache hapa
Zungangishiyi lana

Fursa yangu haipo hapa
Ndawo yami ayikho lana

Ufalme wangu hauko hapa
Mbuso wami awukho lana

Niokoe
Ngilondoloze

Nenda pamoja nami
Zuhambe nami
Nafasi yangu haipo hapa
Ndawo yami ayikho lana

Ufalme wangu hauko hapa
Mbuso wami awukho lana

Niokoe
Ngilondoloze

Nenda pamoja nami
Zuhambe nami
Okoa hifadhi ila akiba
Ngilondoloze ngilondoloze ngilondoloze

Usiniache hapa
Zungangishiyi lana
Okoa hifadhi ila akiba
Ngilondoloze ngilondoloze ngilondoloze

Usiniache hapa
Zungangishiyi lana
Nafasi yangu haipo hapa
Ndawo yami ayikho lana

Ufalme wangu hauko hapa
Mbuso wami awukho lana

Niokoe
Ngilondoloze

Nenda pamoja nami
Zuhambe nami
Okoa hifadhi ila akiba
Ngilondoloze ngilondoloze ngilondoloze

Usiniache hapa
Zungangishiyi lana
Okoa hifadhi ila akiba
Ngilondoloze ngilondoloze ngilondoloze

Usiniache hapa
Zungangishiyi lana

(Tafsiri hii sio rasmi)
masshele
 
Ni nyimbo mzuri ingawa mpaka sasa kwa mtazamo wangu, nyimbo ya Jerusalema ni kubwa kuliko Master KG. Na itampa shida sana kufikia tena ukubwa wa Jerusalema
Hivi ile nyimbo ina uzuri gani jamani mbona mimi nashindwa kuielewa
 
KUSHINDA KWA WIMBO WA MASTER KG JERUSALEMA KUNAFUNZO GANI KWA WASANII WETU?

Wimbo huu wa kidini/ Gospel ulioimba kwa lugha ya kizulu yenye wazungumzaji milioni 9 + kwa mujibu wa sensa ya mwaka 2006 umekuwa maarufu sana duniani na hiyo Jana umeshinda kama wimbo wa mwaka/ the song of the year

Funzo ambalo wasanii wetu wanapaswa kupata ni kuwa lugha au aina ya muziki sio sio kikwazo cha kazi yako kuwa ya kiulimwengu!

Wasanii tambulisheni zaidi aina yetu ya muziki na kuacha vionjo vya muziki wa sehemu nyingine

Kwa taarifa yenu lugha ya kiswahili inawazungumzaji zaidi ya milioni 200 hivyo ubora wa kazi hautegemei sana lugha ya kingereza utakayotumia Bali ufundi na mvuto uliondani ya wimbo

Mwisho, wakati wasanii tukitafuta maslahi yetu nivyema tujikite katika kuutambulisha muziki wetu na lugha yetu

Tujiburudishe kidogo na jerusalema😊

O kuitwa mos, O kuitwa mos
O wanitwa mos, O wanitwa mos

Aliitwa mos
-nanitwa mos
Yerusalemu ni nyumba yangu

Jerusalema ikhaya lami

Niokoe
Ngilondoloze

Nenda na mimi
Uhambe nami

Usiniache hapa
Zungangishiyi lana

Yerusalemu ni nyumba yangu

Jerusalema ikhaya lami

Niokoe
Ngilondoloze

Nenda na mimi
Uhambe nami

Usiniache hapa
Zungangishiyi lana

Fursa yangu haipo hapa
Ndawo yami ayikho lana

Ufalme wangu hauko hapa
Mbuso wami awukho lana

Niokoe
Ngilondoloze

Nenda pamoja nami
Zuhambe nami
Nafasi yangu haipo hapa
Ndawo yami ayikho lana

Ufalme wangu hauko hapa
Mbuso wami awukho lana

Niokoe
Ngilondoloze

Nenda pamoja nami
Zuhambe nami
Okoa hifadhi ila akiba
Ngilondoloze ngilondoloze ngilondoloze

Usiniache hapa
Zungangishiyi lana
Okoa hifadhi ila akiba
Ngilondoloze ngilondoloze ngilondoloze

Usiniache hapa
Zungangishiyi lana
Nafasi yangu haipo hapa
Ndawo yami ayikho lana

Ufalme wangu hauko hapa
Mbuso wami awukho lana

Niokoe
Ngilondoloze

Nenda pamoja nami
Zuhambe nami
Okoa hifadhi ila akiba
Ngilondoloze ngilondoloze ngilondoloze

Usiniache hapa
Zungangishiyi lana
Okoa hifadhi ila akiba
Ngilondoloze ngilondoloze ngilondoloze

Usiniache hapa
Zungangishiyi lana

(Tafsiri hii sio rasmi)
masshele
Hivi hiyo nyimbo ina uzuri gani jamani mbona nyimbo ya kawaida sana. Mimi sioni chochote alichoimba pale
 
Wasanii wa kitanzania wanaimba kuhusu ngono na si vinginevyo.
Ni ngumu kusikiliza bongo fleva mbele ya watu unaowaheshimu.
Ni matusi mwanzo mwisho yanayohusu ngono.

Pia nadhani zinachangia vijana muda mwingi kuwaza ujinga.
Pia nyimbo zao beat ni zilezile tu.
Pia ubora ni mdogo.

Nyimbo ya kueleweka kwenye bongo fleva ni "Mwana" pekee au 100% percent nimsikilize shawn mendes au bruno mars kuliko bongofleva.
 
Wimbo mzuri ule..acha kabisa..ingawa leo ndiyo nimeelewa maana😂
 
Wenzetu beat ndo huwa zinabeba nyimbo zao ila Bongo kimashairi wako mbali sana ukitoa wachache ambao mashairi yao ni matusi tu hivyo nashauri ni muda wakuwekeza kwenye beat kaliii
 
Ule ni wimbo ambao umevunja record duniani kutoka Africa kwa kutazamwa na watu zaidi ya M200
na ile itakuwa nyimbo ya wakati wote.
 
KUSHINDA KWA WIMBO WA MASTER KG JERUSALEMA KUNAFUNZO GANI KWA WASANII WETU?

Wimbo huu wa kidini/ Gospel ulioimba kwa lugha ya kizulu yenye wazungumzaji milioni 9 + kwa mujibu wa sensa ya mwaka 2006 umekuwa maarufu sana duniani na hiyo Jana umeshinda kama wimbo wa mwaka/ the song of the year

Funzo ambalo wasanii wetu wanapaswa kupata ni kuwa lugha au aina ya muziki sio sio kikwazo cha kazi yako kuwa ya kiulimwengu!

Wasanii tambulisheni zaidi aina yetu ya muziki na kuacha vionjo vya muziki wa sehemu nyingine

Kwa taarifa yenu lugha ya kiswahili inawazungumzaji zaidi ya milioni 200 hivyo ubora wa kazi hautegemei sana lugha ya kingereza utakayotumia Bali ufundi na mvuto uliondani ya wimbo

Mwisho, wakati wasanii tukitafuta maslahi yetu nivyema tujikite katika kuutambulisha muziki wetu na lugha yetu

Tujiburudishe kidogo na jerusalema😊

O kuitwa mos, O kuitwa mos
O wanitwa mos, O wanitwa mos

Aliitwa mos
-nanitwa mos
Yerusalemu ni nyumba yangu

Jerusalema ikhaya lami

Niokoe
Ngilondoloze

Nenda na mimi
Uhambe nami

Usiniache hapa
Zungangishiyi lana

Yerusalemu ni nyumba yangu

Jerusalema ikhaya lami

Niokoe
Ngilondoloze

Nenda na mimi
Uhambe nami

Usiniache hapa
Zungangishiyi lana

Fursa yangu haipo hapa
Ndawo yami ayikho lana

Ufalme wangu hauko hapa
Mbuso wami awukho lana

Niokoe
Ngilondoloze

Nenda pamoja nami
Zuhambe nami
Nafasi yangu haipo hapa
Ndawo yami ayikho lana

Ufalme wangu hauko hapa
Mbuso wami awukho lana

Niokoe
Ngilondoloze

Nenda pamoja nami
Zuhambe nami
Okoa hifadhi ila akiba
Ngilondoloze ngilondoloze ngilondoloze

Usiniache hapa
Zungangishiyi lana
Okoa hifadhi ila akiba
Ngilondoloze ngilondoloze ngilondoloze

Usiniache hapa
Zungangishiyi lana
Nafasi yangu haipo hapa
Ndawo yami ayikho lana

Ufalme wangu hauko hapa
Mbuso wami awukho lana

Niokoe
Ngilondoloze

Nenda pamoja nami
Zuhambe nami
Okoa hifadhi ila akiba
Ngilondoloze ngilondoloze ngilondoloze

Usiniache hapa
Zungangishiyi lana
Okoa hifadhi ila akiba
Ngilondoloze ngilondoloze ngilondoloze

Usiniache hapa
Zungangishiyi lana

(Tafsiri hii sio rasmi)
masshele
Maneno ni ya kitoto sana ila beat ni kali, naupenda wimbo huu. Hii kama angekuwa msanii wa Bongo angetia broken English anavaa winter jacket kujifanya Mmarekani, Hiki ndicho kinachowafanya majaji wa nje kuwadharau wasanii wetu maana hawajitambui. Mtu anaimba wimbo wa mapenzi kasalitiwa, eti anapanda juu ya mti anakula tunda huku akicheka. Majaji wanaangalia ubora wa wimbo na maudhui yake si vituko vya kujifanya unajuwa kumbe hujuwi.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom