nagod Member Joined Nov 28, 2023 Posts 10 Reaction score 13 Dec 3, 2023 #1 Habari wadau, Natafuta mtu atakae niadd kwenye account ya netflix imekua ngumu kulipia mwenyewe, Natanguliza shukrani
Habari wadau, Natafuta mtu atakae niadd kwenye account ya netflix imekua ngumu kulipia mwenyewe, Natanguliza shukrani
C Chief Platinum Member Joined Jun 5, 2006 Posts 4,030 Reaction score 3,821 Dec 3, 2023 #2 nagod said: Habari wadau, Natafuta mtu atakae niadd kwenye account ya netflix imekua ngumu kulipia mwenyewe, Natanguliza shukrani Click to expand... Unawezaje kulipia bando ?
nagod said: Habari wadau, Natafuta mtu atakae niadd kwenye account ya netflix imekua ngumu kulipia mwenyewe, Natanguliza shukrani Click to expand... Unawezaje kulipia bando ?
Blank page JF-Expert Member Joined May 28, 2015 Posts 6,157 Reaction score 6,299 Dec 3, 2023 #3 Pambania mwenyewe Mkuu. Itakuwa ngumu mtu kukupatia credentials zake na ilihali hakufahamu.
nagod Member Joined Nov 28, 2023 Posts 10 Reaction score 13 Dec 3, 2023 Thread starter #4 Chief said: Unawezaje kulipia bando ? Click to expand... Kulipia bando na website yenyewe ghalama inakua kubwa sana
Chief said: Unawezaje kulipia bando ? Click to expand... Kulipia bando na website yenyewe ghalama inakua kubwa sana
C Chief Platinum Member Joined Jun 5, 2006 Posts 4,030 Reaction score 3,821 Dec 3, 2023 #5 nagod said: Kulipia bando na website yenyewe ghalama inakua kubwa sana Click to expand... Kwa hiyo unaweza kulipia bando ila huwezi kulipia malipo ya mwezi?
nagod said: Kulipia bando na website yenyewe ghalama inakua kubwa sana Click to expand... Kwa hiyo unaweza kulipia bando ila huwezi kulipia malipo ya mwezi?
nagod Member Joined Nov 28, 2023 Posts 10 Reaction score 13 Dec 3, 2023 Thread starter #6 Chief said: Kwa hiyo unaweza kulipia bando ila huwezi kulipia malipo ya mwezi? Click to expand... Nimekupata mkuu
Chief said: Kwa hiyo unaweza kulipia bando ila huwezi kulipia malipo ya mwezi? Click to expand... Nimekupata mkuu