Kusevu contacts kwenye palmchat

Crispin Nyoni

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
413
Reaction score
90
Wadau,naomba mnijuze jinsi ya kusevu majina(contacts)ya simu ili hata kama laini ikipotea iwe rahisi kudownload contacts kwa urahisi.Asante.
 
Wadau,naomba mnijuze jinsi ya kusevu majina(contacts)ya simu ili hata kama laini ikipotea iwe rahisi kudownload contacts kwa urahisi.Asante.
Kama unatumia smart phone ni rahisi.ikiwa ni Android unasave kwenye gmail adress na ikiwa iphone unasave katika iCloud..
Alternatively zote unaweza kuzisynchronise na pc kwenye outlook..
ukipoteza unazirejesha zote
 
Mkuu,umeniacha mbali sana kwani sielewi maana ya smart phone wala android.Kama ni TECNO T611S unafanyaje?
 
TECNO T611S?Ndio simu gani hii?Anyway,yafaa kununua simu inayokumudusha kutumia.
 
Kama unatumia smart phone ni rahisi.ikiwa ni Android unasave kwenye gmail adress na ikiwa iphone unasave katika iCloud..
Alternatively zote unaweza kuzisynchronise na pc kwenye outlook..
ukipoteza unazirejesha zote

Mkuu,umeniacha mbali sana kwani sielewi maana ya smart phone wala android.Kama ni TECNO T611S unafanyaje?

Mkuu,
Umekuja jukwaani kuomba msaada...Mkuu Inkoskaz akachukua muda wake kukupa maelezo ya kutatua tatizo lako,halafu naona Kama unaleta utani. Kama Ulijua unamiliki hiyo TECNO T611S ungeAndika kwenye post yako ya kwanza na aina ya simu yako ili upate msaada Stahiki. Kama kwa hayo maelezo na msaada alioutoa Inkoskaz umeachwa mbali sana na wala haujui maana ya "Smart phone na Android":A S-confused1:,basi kwa maoni yangu huna hata haja ya kujua jinsi ya kusave contacts kwenye PalmChat...tafuta kaNoteBook andika hizo contacts kwa mkono. Huu ni mtazamo wangu binafsi.
 
nakupa jibu gumu kuliko yote, kwa kutumia simu yako ingia playstore kisha download application inaitwa "NetQin Sync" :tinfoil3:😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…