Kuscsn cheti

godizila

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2016
Posts
846
Reaction score
387
Hiv wakuu kuscan chet ni lazima uscan pande Mbili??
Na vip PDF ukishapewa document yako mbona inagoma kufunguka??
 
Huo upande wa pili unanini chakuscan?? Mambo mengine unajionheza mdogo wangu. Ukienda kuscan chukua format zote ya image na PDF ili hiyo ya PDF ikija kuzingua au kucorrupt una convert iyo image tena. Mwenyewe tu
 
Sidhani kama ni lazima Ku Scan pande zote...labda kama umeagizwa kwa lazima but kimsingi upande unaoonyesha grades
 
Asante kiongozi sasa mbona baada ya kuscan nikija nayo file hilo kwenye PC yangu inagoma kufunguka ila kwenye computer niliyoscan inakubali....tatizo nn mkuu?

Hawajasema mkuu wamesema cheti Tuscan na kiwe mfumo Wa PDF file
Sidhani kama ni lazima Ku Scan pande zote...labda kama umeagizwa kwa lazima but kimsingi upande unaoonyesha grades
 
Asante kiongozi sasa mbona baada ya kuscan nikija nayo file hilo kwenye PC yangu inagoma kufunguka ila kwenye computer niliyoscan inakubali....tatizo nn mkuu?
Ndo nikasema chukua iyo fomart ya picha pia. Ili uiconvert mwenyewe unatumia application gani kufungulia PDF file
 
Nimefanya hivo sasa kwa nn kwenye simu
Adobe reader inafunguka ila kwenye PC adobe reader inazingua???
Ndo nikasema chukua iyo fomart ya picha pia. Ili uiconvert mwenyewe unatumia application gani kufungulia PDF file
 
Natumia adobe acrobat reader ila kuiconvert image natumia image converter to PDF file
Ndo nikasema chukua iyo fomart ya picha pia. Ili uiconvert mwenyewe unatumia application gani kufungulia PDF file
 
Tatizo flash yako au computa yako haina program ya kufungua hicho cheti kama pdf
 
Adobe reader mkuu PC yangu ninayo ila inaniambia "image not enough to open"lakin nimeenda kwa jamaa wangu katumia app ya "Reader" PDF kuifungua na adobe reader imekataa.
Tatizo flash yako au computa yako haina program ya kufungua hicho cheti kama pdf
 
Itakuwa alivyoscan ajaiweka kama adobe unajua kuna vi program vingi vya kuchagua wakati Wa kuscan ndugu
 
Asante kiongozi sasa mbona baada ya kuscan nikija nayo file hilo kwenye PC yangu inagoma kufunguka ila kwenye computer niliyoscan inakubali....tatizo nn mkuu?
Kwenye PC yako una pfd / adobe reader?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…