Mjomba Mkude
JF-Expert Member
- Nov 21, 2013
- 287
- 119
Mm nko kwenye dish, TBC na startv kwenye habari naona mpaka vinyweleo ...nkienda ITV...geuza set vyovyote vile naona tu picha zimevurugika sauti hakuna, sijaelewa y....
Mm naangalia habar itv kila siku kupitia star dish sijaona tatizo
Mimi siipati clouds tv na capital ktk king'amuzi hiki...nimenunua Juzi tuu.
Kingamuzi gani kinaonyesha CNN JAMANI WADAU
Wakuu,kwa kipindi cha wiki sasa ITV kupitia Star Times imekuwa ikiscratch sana hasa kuanzia mida ya saa mbili usiku. Naomba kujua kama kuna mtu ameona tatizo hili. Isije kuwa ni hujuma za TBC za kutaka tuangalie taarifa ya habari ya TBC badala ya ITV.