Anahitajika mtu mwenye utaaluma na uzoefu wa kuandaa katiba,kufuatilia na kusimamia usajili wa NGO au Foundation ambayo itakuwa inaoperate Tanzania nzima.
Kama kuna mwenye uzoefu na ambaye anauwezo wa kusimamia hiyo kazi tafadhali njoo PM unipe taarifa zifuatatazo:
Gharama na mahitaji ya kuandaa katiba incl printing.binding
Sasa kumbe ulitaka tukufuate huko PM kwanini tu usingerahisisha Kazi kwa kututafuta Members wote wa JF katika PM's zetu ili utuwasilishie hiki kinachotuchanganya?
ubongokid Naona picha ya kifo cha socrates kupitia sumu kwenye dp yako!.. Unajua sababu ya kifo chake ni kuambiwa anadanganya vijana na maandiko yake!?