Ni gari aina gani?Wakuu,
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada.
Mimi nilinunua body ya gari x , nikaunga unga na spare parts tofauti (engine , gear box nk) tena hadi gari ikasimama vizuri sana.
Changamoto ni kwenye usajili sijui nanzia wapi.
IpsumNi gari aina gani?
Aliyekuuzia hakukupa kadi ya hiyo body maana ndio ina number za usajili?Ipsum
Hiyo bodi si ilikuwa na usajili?la sivyo utailpa km gari uliyoagiza njeWakuu,
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada.
Mimi nilinunua body ya gari x , nikaunga unga na spare parts tofauti (engine , gear box nk) tena hadi gari ikasimama vizuri sana.
Changamoto ni kwenye usajili sijui nanzia wapi.
Sasa unatukuna wakati unapewa maelekezo kwa jibu lako hili wewe ndiye shoga.Acha ushoga
Wewe uitwe mwizi then uwe mnyenyekevu Mkuu ?Umekosea Sana.. maisha yanataka UNYENYEKEVU nakupa hilo kama somo la leo.chukua au Acha
Hiyo gari kabla hujaanza kufanya yote uliyofanya ilitakiwa uwe na uhakika wa usajili wake. Vinginevyo litakutia matatizoni.Wewe uitwe mwizi then uwe mnyenyekevu Mkuu ?
Hizo ni zile TZ kabla ya T101 AAB,, likifufuliwa linapewa usajili mpya,, hapa mtaani kuna pajero ya mwaka 92,,lina usajili wa EHB hapo mwanzo ilikuwa TZHapa kuna kitu nimekumbuka uwa kuna magari yanakuwaga na plate namba za hivi karibuni ila muonekano nimechoka hatari uwa sipati majibu vizuri
Oky hapo nimeelewaHizo ni zile TZ kabla ya T101 AAB,, likifufuliwa linapewa usajili mpya,, hapa mtaani kuna pajero ya mwaka 92,,lina usajili wa EHB hapo mwanzo ilikuwa TZ
Ni zile gari za miradi au serikali zikiuzwa wakibadili namba unapata E ila gari ya miaka 15 nyuma ndani ya Tanzania.Hapa kuna kitu nimekumbuka uwa kuna magari yanakuwaga na plate namba za hivi karibuni ila muonekano nimechoka hatari uwa sipati majibu vizuri