Habar zenu wakuu, hivi hakuna umuhimu kwa tume ya ajira nchini kuwafanyia interview(usaili) waalim na kada zingine kama ambavyo imefanya kwa maafisa mifugo na kilimo mwaka huu?ambao nao pia walikuwa wana ajiliwa moja kwa moja bila ya usaili.............