Sasa mbona kuna beef la Wasafi na Clouds kama mmiliki ni Kusaga?
Hakuna beef hapo ni kutafuta kiki tu ya hayo matamasha watu wajipigie mpunga wao kutoka kwa mazwazwa wadanganyikaSasa mbona kuna beef la Wasafi na Clouds kama mmiliki ni Kusaga?
Na MAZWAZWA yatapigwa Mpunga Kinoma!!!! Watu wanakaa chini wanatengeneza Beef wapate KIKI kisha wanatoa bizness zao zinatambaa na chaki.Hakuna beef hapo ni kutafuta kiki tu ya hayo matamasha watu wajipigie mpunga wao kutoka kwa mazwazwa wadanganyika
Kwa mawazo yangu hao wote naona wanatafutiana kiki wapige pesa tu. Mtu moja wasafi na clouds ni branch zake.Sasa mbona kuna beef la Wasafi na Clouds kama mmiliki ni Kusaga?
Beef limetengenezwa kimkakati kumtoa majizo mchezoni... Mjini mipango, washamba hamuwezi kuelewa.Sasa mbona kuna beef la Wasafi na Clouds kama mmiliki ni Kusaga?
Mkuu watapiga hela sana Kwa hili bifu fake la kibiasharaSasa mbona kuna beef la Wasafi na Clouds kama mmiliki ni Kusaga?
Evidence Ya Kusema Kwamba Kusaga anamiliki Zote Ni Upi?Write your reply...
zote wasfi na clouds mmiliki ni mmoja, bwana kusaga.. hilo bifu ni mipango ya town ya kutengeneza pesa, wanacheza na akili za wabongo tu kama ilivyokuwa kwa kiba na domo..
Nilipoona wasafi hawagongi ngoma za jide ndio nikajua moja moja haya maneno kuwa mmiliki wa hao jamaa ni kusaga aiseee...yule na jide haziivi kabisa